Mchezaji wa Arsenal, Hector Bellerín kuhusu Vita ya Ukraine

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230
instagram_1648126726155.jpg

Jamaa ameongea ukweli.
 
... kinachomkalisha hapo Arsenal ni kipi? Aingie front Yemen akapiganie watu wake anataka nani awasemee? Ashakula sausage kavimbiwa anatoa ushuzi tu huyo.
 
Mazunguzu walivyo mashetani yataanza kumfanyia zengwe.
Mabeberu wetu wale walivyo wamafia, watamtafuta hata kwa miaka kadhaa ijayo ilimradi tu wamkwamishe mazima ktk maisha yake.

Mwenye hekima lazima ajue lile neno "democracy" ni kauli mbiu tu lakini halizingatii itifaki kabisa katika maisha halisi [emoji23]
 
Mafia hawa jamaa samir nasri ozil sijui hata wako wapi sahz
Yanaweza yakakufuata hata ukiwa umeshastaafu hayasahau haya 😃😃😃
 
... kinachomkalisha hapo Arsenal ni kipi? Aingie front Yemen akapiganie watu wake anataka nani awasemee? Ashakula sausage kavimbiwa anatoa ushuzi tu huyo.
Hebu tutolee unonko hapa huyo mchezaji ni raia wa Uspania,kama mpaka yeye ameona unafiki wa wazungu wenzie ww mmatumbi una kipi chamaana cha kumpinga?
Haya kesho nendeni mkaandamane maana rais wenu kawambia muandamane ili kuiunga mkono nchi yake.
 
Kati yako wewe na Hector ni nani mwenye hekima na busara? Ndio maana ndugu zako wa jamiiforum wamekausha huu ujumbe kwa mtu anaejielewa.
 
Hebu tutolee unonko hapa huyo mchezaji ni raia wa Uspania,kama mpaka yeye ameona unafiki wa wazungu wenzie ww mmatumbi una kipi chamaana cha kumpinga?
Haya kesho nendeni mkaandamane maana rais wenu kawambia muandamane ili kuiunga mkono nchi yake.

Hajui anachokiongea, anafikiri mwarabu huyo 😁 chuki mbaya sana, haimuachi mtu salama. Anawachukia waarabu na hapo hapo jamaa zake(mabeberu)wanamtambua ni SOKWE 😁
 
Back
Top Bottom