Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Jamaa ameongea ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi Kama Arsenal hatuungi mkono upande wowote ule ,na Huyo muhindi Hector Bellrin sio mchezaji wetu Hana kibarua na hatumlipi mshahara kwa Sasa na isitoshe ni mawazo yake binafsi ,sisi Arsenal lengo letu ni moja tu TOP FOUR NA UEFA MWAKANI......
Id Ina Mungu😂😂😂Hapo Ajiandae Kupewa Misuko suko miungu watu
atajuta huyu utaona wazungu sio poaMazunguzu walivyo mashetani yataanza kumfanyia zengwe.
Mabeberu wetu wale walivyo wamafia, watamtafuta hata kwa miaka kadhaa ijayo ilimradi tu wamkwamishe mazima ktk maisha yake.Mazunguzu walivyo mashetani yataanza kumfanyia zengwe.
Mafia hawa jamaa samir nasri ozil sijui hata wako wapi sahzMabeberu wetu wale walivyo wamafia, watamtafuta hata kwa miaka kadhaa ijayo ilimradi tu wamkwamishe mazima ktk maisha yake.
Mwenye hekima lazima ajue lile neno "democracy" ni kauli mbiu tu lakini halizingatii itifaki kabisa katika maisha halisi [emoji23]
Kama walivyomuandama MESUTMazunguzu walivyo mashetani yataanza kumfanyia zengwe.
Hebu tutolee unonko hapa huyo mchezaji ni raia wa Uspania,kama mpaka yeye ameona unafiki wa wazungu wenzie ww mmatumbi una kipi chamaana cha kumpinga?... kinachomkalisha hapo Arsenal ni kipi? Aingie front Yemen akapiganie watu wake anataka nani awasemee? Ashakula sausage kavimbiwa anatoa ushuzi tu huyo.
... kinachomkalisha hapo Arsenal ni kipi? Aingie front Yemen akapiganie watu wake anataka nani awasemee? Ashakula sausage kavimbiwa anatoa ushuzi tu huyo.
Hebu tutolee unonko hapa huyo mchezaji ni raia wa Uspania,kama mpaka yeye ameona unafiki wa wazungu wenzie ww mmatumbi una kipi chamaana cha kumpinga?
Haya kesho nendeni mkaandamane maana rais wenu kawambia muandamane ili kuiunga mkono nchi yake.
... hekima na busara unaongea wewe!Kati yako wewe na Hector ni nani mwenye hekima na busara? Ndio maana ndugu zako wa jamiiforum wamekausha huu ujumbe kwa mtu anaejielewa.