Fine. Wewe je?Anha sawasawa.
How are you?
Well well.Fine. Wewe je?
Angelfanya kama alivyo fanya bashite mbona mambo yangeisha tu vzr? Kila mtu angekula kulingana na urefu wa kamba yakeShauri yake , Anajiona kajipata so anamkataa jamaa 😆😆
Huwenda alimpa ahadi kwamba akitusua atamshika mkono
Ilitokea hivyo Kwa 2face alikuwa mshikakaji mkubwa Mikel Obbi 2face alipokuja kutoboa kimziki Akaanza kumfungia mwenzake vipo yaani full madharau
Mungu sio athumani Mikel Obbi akatoboa na kwenda kucheza Chelsea akawa star mkubwa kuliko 2face na Hela kibao , to good enough Mikel Obbi kutokana na ushawishi wa umaarufu wake akaoa mtoto wa bilinear now wana mihela kibao ,
Ushkaji wa watu wawili ambao bado wapo kwenye kipindi Cha kujitafuta unakuwaga wa kinafki sana mmoja anapo tangulia kuanza kupata
Ila wanajua kuzihandle shida hyu analeta u much knowMkuu hadi bunge lako linawatu wana nyaraka kibao za kughushi nabado wapo kule na sio hao tu kuna wakuu wa Idara kibao tena sehemu nyeti wako na nyaraka hizo..Au umesahau ya Mkuu wa Kaya.?
We unadhani kwanini Magu alianza na issue ya dizain hii mapema tu alipoingia ofisini.,?

Wabadilishane majengo ya serikali huyu jela yule mochwari😆😆😆😆😆Hii kesi unatakiwa uitatue mwenyewe usiende mahakamani wala polisi ;
Kama anang'ang'ania jina lako na wewe chukua uanaume wake. Hapo sasa kila mtu atabaki na utambulisho wake mpya wa kudumu
Duchu kiburi kinamponza.Hii kesi na ya Bashite zinafana japo hazina uwiano, bashite aliweza kuihandle hii vzr kwa kuwa hakuwa na ubishi, nacho ona hapa hyu mwamba amekuwa na kiburi...
Hii ndo itamponza, kwa sabb wawazi wanajua, uhamiaji wanajua idara ya usalama wa taifa wanajua sasa ni vile tu wamenyaaa.. ila wakishindwa kuweka Sawa wao wawili hasa hyu mwamba wa soka.. ataenda nyuma miaka 20.. ni vyema akachutama na kuona namna wanavyoweza kulimaliza hili
Ilikuwaje tena.Mambo yale yale ya Sospeter Bajana na kutumia jina la Bryson Raphael