KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mwanangu nakuomba futa hii post haraka sana kabla washkaji hawajaamka maana wakiamka na kusave na kuanza kufatilia ote wawili mnapoteza na mnaweza kuchezea fine ana mvua ya kutosha tu toa haraka hii post la sivyo huo wivu wako wa kitoto unaenda kukugharimu pakubwa
 
Hapo ni huruma ya mods tu ila wanaoingia jf kama guest hawawezi kufuta wala kureply.ukipost umepost
 
Hapo ni huruma ya mods tu ila wanaoingia jf kama guest hawawezi kufuta wala kureply.ukipost umepost
Basi ndo kishamlamba tena kwa ushamba wake anaweka vyeti tin mpaka na picha kabisa kama anamtumia babaake kudadadeki kumbe analichonga kaburi lake mwenyewe ngoja wanayanga waamke walivalie njuga ataelewa athari zake soon, maana sababu inaonekana alitaka amfanye mwenzie kitega uchumi mwenzake amemchomolea may be kwa kuchoka kwa vizinga
 
Achana na hizo mambo wengine wapo. Walikalili majina huko shule ya msimgi saivi ni wakurugenzi ni wakuu wa mataasisi na wenye majina wapo mtaani ni wakulima hawajawahi kusema wala kulalamika.

Kikubwa we poa ishi na mshikaji kama mlikubaliana awe anakutoa hata posho kupooza maumivu ya family 👪 wakikusema.

Oya mwanangu duchu huo sio ungwana mkuu kama mlikubaliana usaliti sio dili kaa na mwana endeleza harakati zenu as usual mwamba huenda mambo hayaend anaona ww ndio unamletea nuksi kaa na mwamba mzee
 
Back
Top Bottom