David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Na hili yanga lazima watalipata tu.Basi ndo kishamlamba tena kwa ushamba wake anaweka vyeti tin mpaka na picha kabisa kama anamtumia babaake kudadadeki kumbe analichonga kaburi lake mwenyewe ngoja wanayanga waamke walivalie njuga ataelewa athari zake soon, maana sababu inaonekana alitaka amfanye mwenzie kitega uchumi mwenzake amemchomolea may be kwa kuchoka kwa vizinga