KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sawa lakini kiufupi hii post inaweza kukuumbua ni vyema uifute na utafute watu wakubwa kutoka kwa huyo fariki yako wa zamani.
 
Hii kesi na ya Bashite zinafana japo hazina uwiano, bashite aliweza kuihandle hii vzr kwa kuwa hakuwa na ubishi, nacho ona hapa hyu mwamba amekuwa na kiburi...

Hii ndo itamponza, kwa sabb wawazi wanajua, uhamiaji wanajua idara ya usalama wa taifa wanajua sasa ni vile tu wamenyaaa.. ila wakishindwa kuweka Sawa wao wawili hasa hyu mwamba wa soka.. ataenda nyuma miaka 20.. ni vyema akachutama na kuona namna wanavyoweza kulimaliza hili
 
Angelfanya kama alivyo fanya bashite mbona mambo yangeisha tu vzr? Kila mtu angekula kulingana na urefu wa kamba yake
 
Ila wanajua kuzihandle shida hyu analeta u much know
 
Hii kesi unatakiwa uitatue mwenyewe usiende mahakamani wala polisi ;

Kama anang'ang'ania jina lako na wewe chukua uanaume wake. Hapo sasa kila mtu atabaki na utambulisho wake mpya wa kudumu
Wabadilishane majengo ya serikali huyu jela yule mochwari๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Jamaa itakuwa kafoji Hadi passport ya kusafiria
 
Duchu kiburi kinamponza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ