David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Na hili yanga lazima watalipata tu.Basi ndo kishamlamba tena kwa ushamba wake anaweka vyeti tin mpaka na picha kabisa kama anamtumia babaake kudadadeki kumbe analichonga kaburi lake mwenyewe ngoja wanayanga waamke walivalie njuga ataelewa athari zake soon, maana sababu inaonekana alitaka amfanye mwenzie kitega uchumi mwenzake amemchomolea may be kwa kuchoka kwa vizinga
Ama kweli kua uyaone.Khaaa 😅
Tupo wengi mbona ,sema haki ya mtu haipotei
Kitu usichokijua hao jamaa wamegeukana inaonekana walikuwa kwenye makubaliano lakini mmoja wao amekiuka.Unapata athari zipi mtu mwingine kutumia jina lako?
Mpaka umepata TIN maana yake NIDA unayo na inakubalika. Umekosa kazi kisa jina lako linafanana na la mtu mwingine?
Umekosa hati ya kusafiria?
Umeshtakiwa kwa kosa la huyo mchezaji bila wewe kulifanya?
Kipi unaathirika nacho hasa.
Tuna uchungu na Tanganyika yetu 😀Ama kweli kua uyaone.
Sisi tunasubiri updates za mahakama bwana mkubwa.
Wanamtisha bure ndio maana ni ngumu kupata katiba mpya kwa watu wa dizaini hiiJamaaa yeye hana cha kupoteza ila duchu ndio anacho lazima atapoteza
Nimemuhurumia kwakweliNaam !
Same case 😀
Ila kwanini Duchu atudanganye? kuwa kazaliwa 2001 wakati ni kijana wa 1994?Kwahyo lengo lako haswa ni nn?
-atolewe simba ucheze wewe
Au unahitaji pesa kila mwezi?
Hakuna kesi ya kutumia jina kwa kuonyesha kipaji ulichonacho,,
Ndo tumeamka hapa wana Yanga...soon tunaita press na waandishi wa habari tutakutana nao makao makuu jangwaniBasi ndo kishamlamba tena kwa ushamba wake anaweka vyeti tin mpaka na picha kabisa kama anamtumia babaake kudadadeki kumbe analichonga kaburi lake mwenyewe ngoja wanayanga waamke walivalie njuga ataelewa athari zake soon, maana sababu inaonekana alitaka amfanye mwenzie kitega uchumi mwenzake amemchomolea may be kwa kuchoka kwa vizinga
Mkuu kwani kwenye mambo ya mpira hujawahi kusikia mtu kafungiwa kutokuingia uwanjani???? Yeye alitumia jina jingine ili aendelee kucheza mpira maana jina lake lilikuwa bannedTimu inakufungiaje kutumia majina Yako mbona kama sielewi?
Na tutatuma TAKUKURU mkoa wa Mbeya walifanyie kazi.Ndo tumeamka hapa wana Yanga...soon tunaita press na waandishi wa habari tutakutana nao makao makuu jangwani