Mchezo Mchafu: Kuna kina mama huwatuma mabinti kuingia vyumba vya wapangaji wa kiume, fumanizi la video hufanyika ni aidha utoe pesa ama unaenda jela

Yani mwanaume mzima unakimbia dhambi? Mwanaume mzima unaogopa kifo? Kweli nimeamini wanaume tumebaki wachache sana.
Tufanye hivi; una mke na mtoto alafu una kimada, sasa basi unaongea na kimada wako aje kwako walipo mke na mwanao usiku wakiwa wamelala.

Ilipofika saa 23:49 wamelala fofo, kimada akaja ukafungua mlango alipofika sebuleni mkaanza mambo yenu, gafla dogo/mwanao akatokea alikuwa anaenda msalani, akawakukuta (empty) huku kimada ananing'ia miguu kakushika mabega.

🔺Ikimbie dhambi mkuu!.
 
Nna wasiwasi huyu jamaa ni yule aliyekutwa chumbani kwake na mkuu wa wilaya ya Tunduru na binti wa miaka 12
 
Ahahahahaha.
Mleta mada umenikumbusha mbali sana.
Kuna siku kuna kabint asubh asubh kamekuja nyumban et kanaomba msaada kanateswa kwa boss wake kanataka kurud kwao.Nilikua nimelala bado na ilikua weekend kamvua kananyesha nyesha.Wife kashaamka na watoto pia.
Bas wife akampiga maswali kishenziiiii kisha akaja kuniaamsha et "nimsadie achukue uamuzi gani".

Kwa mujib wa intelijensia ya kichwa changu nikajua kabisa huu ni mtego wife kuna kitu anataka ku confirm kama anachezewa mchezo like kuna kinachoendelea. 😂😂 akil mtu wangu ..kwa kuligundua hilo nikatuliza nafsi kisha nikamwambia wife, unataka nifanyaje sasa kama wewe ushamuhoji, ? Akasema na wewe muulize ..
Nikamiuliza jina lake (naona wife anatutazama kwa makin sana asome kitu) .Aliponijib maswal kadhaa nikamwambia wife,
Msaidie ila usimruhusu huy kuondoka kwanza mpigie simu mjumbe aje amhoji kisha amchukue na kama unataka kumsaidia nauli mpe mbele ya mjumbe.
Nikarud ndani nacheeka rohoni. Wanawake bwana!!
 
We noma,
 
miaka miwili unawaleta wanafunzi geto wapike tu??? sema ulikulaa ila ndo hivyo umeponea chupuchupu..
 
Dogo wewe ni mwanume bana. Mwanaume haogopi dhambi, ukimwi na kifo. Kweli nimeamini wanaume tumebaki wachache sana.
 
Yule jamaa kakosa kazi et saa tano unaenda kufanya fumanizi, alafu unasisitiza watoe majibu unayotaka ww kwa kwenda kuhoji nje ya kamera,
Inakuwaje hapo.
Kutaka sifa tu.
Angekuwa mdogo wako au mwanao ndio kafanyiwa hivyo ungeelewa umuhimu wa DC kuwepo hapo, usichokijua ni kwamba huyo jamaa mchezo wa kukigonga hicho kitoto anao muda mrefu na taarifa zilishamfikia mpaka D, akitoka salama akatambike.

Tuviheshimu hivi vibinti chini ya miaka 18 la sivyo vitawatia sana matatizoni.
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Ilikuaje..
Binti alipotea kwao siku mbili, wazazi tafute wewe, kumbe alikuwa nyumba ya jirani inawapangaji wengi, wale wapangaji walijua Kama yupo mle geto na bwana, Sasa Kuna mama mmoja ni mpangaji mlemle kaenda kuwaambia wazazi wake Yule binti yupo ndani kwa fulani, Ila mi sitaki ushaidi Kama mi nimewaambia, na nimewaambia kwakuwa nimeguswa na nimeona maangahiko yenu, naona kukaa kimya ni dhambi, wameenda kumwita mwenyekiti na shehe, watu kibao na ndugu zao, wakafungishwa ndoa bila maandazi Wala chai, ndoa ya mkeka ndo hiyo.
 
Safi sana nmependa msimamo wako hao viumbe sometime ni konyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…