Mchezo mchafu unaofanywa na benki kuwapora wateja pesa zao

Hivi wadau naomba kujua, inawezekana kupata bank statement ya akaunti ya marehemu mara baada ya mahakama kukupatia barua ya kufunga mirathi?
 
Haujajiunga na huduma ya notification kwenye simu yako?
 
Huna pesa ya kuibiwa ndugu, we ni wa kawaida mama sisi wengine. Walivyo wezi hao jamaa
Hela ipo ndugu yangu...milioni 50+ si haba wangekuwa wameshadokoa!


Kingine mimi napoishi na Nmb bank ni pua na mdomo, a lot of staffs mlee nimesoma nao, wanajua home n.k....nadhani hii ni sababu tosha

Si kwa kufunguka huku[emoji848]
 
Mkuu hata Mimi nilisha wahi kuwa mfanyakazi wa bank,unachosema ni sahihi katika mambo ya posting ya pesa.
Ni kweli Bank haifanyi makosa,makosa wanafanya wafanya kazi lakini unaanzanje kutofautisha Bank na wafanyakazi??.
Ukiangalia makosa mengi yanafanya na CRDB au NMB mbona Bank zingine hata matukio sio sana,obviously tunaweza tukasema sababu wao ndio wanawataja wengi lakini ukweli ni kuwa Bank hizo management ni mbovu sana tena kupindukia.

Tena mie naona NMB wanajitahidi kwa kuwa wanafanya sana biashara na Serikali,na ni sehemu ya Serikali lakini hao CRDB ni takataka kabisa.
 
kumbe watu wa benki mpo humu
 
Hawa NMB nikipata muda nitaenda na slip zangu tupige hesabu polepole bila kupigizana kelele. pesa niliyoweka na kutoa haziendani kuna gap la hamsini na kitu

Sasa nimeshapata mwangaza nilijua nimejichanganya kumbe mmenichanganya sasa mtajua hamjui
Nashauri kabla hujaenda kupiga nao hesabu,itabidi kwanza ujue gharama za makato kwa kila muamala uliofanya na pia makato mengine ya benki ie service charge (kama yapo).Maana kutoa pesa sio bure,kuna makato iwe umetumia ATM au umechukulia dirishani,utakatwa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wacha pesa ikutetee mbona unaongea wewe sasa.
Hela ipo ndugu yangu...milioni 50+ si haba wangekuwa wameshadokoa!


Kingine mimi napoishi na Nmb bank ni pua na mdomo, a lot of staffs mlee nimesoma nao, wanajua home n.k....nadhani hii ni sababu tosha

Si kwa kufunguka huku[emoji848]
 
Alafu unamkuta mtu ajiita msomi kumbe mwizi jambazi kama majambazi wengine na wezi wa kuku tu
 
Ivi bank ukichukua pesa bila kuhesabu baadae unagundua kuna kiasi hamna ni sahihi kurudi na kudai
Maana sio kwa kuekeana mzigo wa noti wa 5000 alaf ubaki uhakikishe palepale kwenye kidirisha nyuma watu wanakukodolea mimacho
Siku wakinizingua nitawazingua
 
Pole sana mkuu, ninakushauri uende bank uwaambie wakupe bank statement ya miezi miwili April na May, ukiona kilichoandikwa ni tofauti na transaction ulizofanya nenda umuone manager wa bank.
 
Mkuu, kama huyo mama alikushirikisha jina la hiyo benki, kwanini usiweke wazi ili iwasaidie na wengine?
 
nyie kumbe kuna upigaji kila kona
 

Ulikagua deposit slip?
 
Mi niko Nmb...mwaka wa nne huu

Ukweli kabisa kwangu hawana shida, au kwa kuwa mi bandiduu?[emoji848]
Kama uko kiwango cha Chap Chap account huwez kukutana na changamoto ..hzo ...Sisi tunao fanya deposit ya above 5m na kuendelea... Huko ndo wakudiscuss hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie pia nahisi niliwahi kupigwa hapo bank! Maana kuna kipindi niliweka mahali mzigo nikawa na draw bila kufuatilia ila nikashangaa ile hela imeisha kwa muda mfupi sana! Nilikuwa natolea hela dirishani sababu kadi ilikuwa ime expire
Kutolea hela dirishan kwa Nmb n 6000 service charges ..so you can imagine miamala uliokua unaitoa ....
 
Dah nchi imeoza hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NMB ndio utapigwa utachakaa...Hio tabia almost watu wanaolalamikia humu 80% wamefanyiwa uhuni NMB
Nmb labda ufungue bonus account ambayo kwa mwaka utatoa pesa mara nne ...hii ndo hawawez kukuibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…