Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Ni kweli mkuu..ila mm sijasema kwamba rwanda anaizid tz kwa lolote.. hapo nimetoa kama caution! Kwamba tusiwe wajingwa kupumbazwaa na sifa ya kuwa nchi kubwa na huku tukisema rwanda ni nchi ndogo..hapo ndo nimetoa angalizo tu na sijasema rwanda anamzid tz au tz anamzid rwanda mana mm sio top security officer wa tz wala wa rwanda. They themselves know each other.
Nimetoa angalizo na kusisitiza kuwa jeshi letu nalo liendelee kujdhatiti kitechnologia zaida
 
Silaha ndogo kabisa hizo za masafa mafupi tu! Haina tofauti na RPG.
Huko ni kukosa eshima.yani Buk missile ufananishe na RPG.Buk ni ulinzi tosha ndugu,kwenye Vita vya Urusi na Georgia Buk ilitungua ndege nyingi za Warusi.

Marekani alishambulia Syria kwa makombora ya Tomahawk,mengi ya makombora yalitunguliwa na mfumo wa Buk.juzi tu hapa Israel imeshambulia Syria kwa ndege zake aina ya F-16 lakini makombora karibu yote yameshushwa na mfumo wa Buk.

Nitajie hata nchi 10 Africa zenye kumiliki huu mfumo kama unaona ni wa kawaida
 
Itoshe kusema Tanzania 🇹🇿 sio Bogus.
Unaweza kuisifu nchi yako bila kuizodoa kiujanja ujanja Tanzania.. Tanzania imawelaea Rwanda, na tuliwatunza kipindi cha magumu yenu. Kuwa na adabu. Tanzania ni kaka mkubwa kwa Rwanda. Ni ndugu zetu nyie.

Najua Wanyarwanda wengi wanalijua hili na wala hawana haya majigambo uchwara ya hapa JF.

Taja kazi nzuri ya Rwanda ila achana na Bongoland kabisa!
 
La kujiuliza je hawa magaidi wamekimbiia wapi!?
Haiwezekani kuwa wmejichanganya uraiani kuwazubaisha wanamgambo na kujipanga upya!?
 
aisee sijayajua majina ya kifaru niliishia kuhesabu lakini pantsir tuliziona mpyaa mzee hapa moro hasa eneo la msamvu stend tunafaid sana mitambo ya kijeshi kuhusu ndege mimi nahisi ile ni mag 29 maana ina mdomo mrefu sana huenda tumeinunua kwa bei rahisi kutoka ukrein
 
Acha upunguani we ndezi japo nai dis ccm kwa ujinga wake lkn acha kui underrate tz ww hako ka rwanda kenu kama mmechoka kukaona kwenye uso wa ramani ya dunia kajaribu hata kurusha unyoya tu kwa dhamira ya ugomvi kama katasalia

Jw ni habari ingine
 
Mig 29 hatuna uwezo nazo na zingetangazwa kimataifa
 
Acha upunguani we ndezi japo nai dis ccm kwa ujinga wake lkn acha kui underrate tz ww hako ka rwanda kenu kama mmechoka kukaona kwenye uso wa ramani ya dunia kajaribu hata kurusha unyoya tu kwa dhamira ya ugomvi kama katasalia

Jw ni habari ingine
Mbona kipindi kile kikwete alituogopa? Kikwete anaijua nguvu ya Rwanda.. Bahima Empire.
 
Unaongea ukiwa Burundi au Bangui? Yaani nchi ambayo ukiwa Tabora unapiga Popote unapotaka ukienda Karagwe itakuwaje si unalenga Ikulu na RPG
[emoji23][emoji28][emoji28]kuna watu wanasifa sana hata hawaelewi kipi ni kipi kazi kusifia Tu
 
Eti umeelewa[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]ndio tumeelewa mkuu deep kabisa maana wengine hizi mambo za vita ni mlolongo!
 
TANZANIA ni mbabe wa Vita analogy, tuko kwenye digital era
 
Mkuu Hawa ndo wanatoka nchi jirani,ukimuuliza kabila gani anajibu muha wa kigoma, military troops power ya tz hawezi ichambua amezoea zao za showoff mda wote siraha begani kama tupo Afghanistan
Na kweli, haandiki kama mtanzania yaani.
 
Kuna watu wanadhani mambo ya kijeshi/kiusalama ni sawa na mambo ya Kina Alikiba na Diamond. Kuna mashirikiano makubwa sana ya nchi zetu hizi, juu ya suala la Msumbiji. Huwezi pambana na magaidi hao huko Msumbiji bila mashirikiano na Tanzania, maana kijiografia Tanzania ni mdau muhimu sana kwenye suala hilo.
 
Haya ndio mambo yaliyomfanya Marekani kukawa na msemo maarufu sana kuwahusu 'We do desert we don't do mountains'. Iran inalindwa sana na jiografia yake kijeshi, same case to Urusi. Hili la baridi lilimkwamisha Napoleon alipowavamia na hata Mjerumani. Rwanda ni nchi ndogo mno kupambana na Tanzania. Kwanza hata supply ya bidhaa kwao ni ngumu sana kuendeshea vita ikiwa watakuwa na chokochoko na sisi. Ukiwaendeshea vita ya wiki mbili tu, warwanda watakufa njaa, wakati tanzania, mikoa ya kusini inaweza endelea lisha taifa kipindi cha vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…