jailos mrisho
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 647
- 1,360
Ni kweli mkuu..ila mm sijasema kwamba rwanda anaizid tz kwa lolote.. hapo nimetoa kama caution! Kwamba tusiwe wajingwa kupumbazwaa na sifa ya kuwa nchi kubwa na huku tukisema rwanda ni nchi ndogo..hapo ndo nimetoa angalizo tu na sijasema rwanda anamzid tz au tz anamzid rwanda mana mm sio top security officer wa tz wala wa rwanda. They themselves know each other.Kipi kati ya ulivyotaja hapo Rwanda inaizidi Tanzania. Technology? Tactics? Weapons? Military intelligence?
Geographical size and terrain matters. You have various references, Operation Barbarossa between Nazi Germany & Red Army, Iran- Iraq war
Unaitumia China na Japan kama comparison, Japan at the time was superpower na China ilikuwa maskini wakutupwa ikiwa na utapiamlo na haina organized government. Sasa kwani Rwanda ni superpower au Tanzania iko disorganized
Case ya Israel ni special kabisa. Nchi gani nyingine duniani ambayo UN iliwapa eneo la kukaa tofauti na Israel, nchi gani nyingine ilitafitutiwa eneo la kukaa na mkoloni wa hilo eneo. Israel ilipobanwa mbavu na Egypt kwenye Yom Kippur war, sorties za allies zikaanza kushusha silaha ambazo hata hawakununua walipewa bure. Israel na Rwanda haviendani, Rwanda ni kanchi kanakolindwa kwa mtutu muda wowote Kagame akiondoka wanapigana tena
Nimetoa angalizo na kusisitiza kuwa jeshi letu nalo liendelee kujdhatiti kitechnologia zaida