Endelea kuota!Huyu mbuzi hazeeki wala hachoki. Siku moja tutasikia kaichukua Kati ya Uganda au Tanzania.
Huyu jamaa ana akili afu mjanja mjanja na katili saana. Masterminder!View attachment 1884690
Hata sishangai nyie Ni wazalendo Kama mimi, tatizo hamtaki kupokea ukweli.Unaifahamu A100, je pia unaifahamu range yake, nenda kasome ukishapata jibu ndio ukae chini ukiwa umeshiba uongee huu utumbo!
Ahahaha!! Dogo uwe na adabu kabla ya Rwanda ilikuwepo Tangayika.Mungu iabàriki Rwanda
Ukweli upi ndugu? Rwanda mwenyewe anajua mbele ya Tanzania hawezi kutoboa! Kinachoturudisha nyuma ni ufisadi tu!Hata sishangai nyie Ni wazalendo Kama mimi, tatizo hamtaki kupokea ukweli.
Achana na chama kinachoitwa SADC aisee! Yani Gaidi anaweka HQ na airport Macimboa da praia mwa bahari ya hindi na kupata supply,sasa tujiandae kusikia wamehamia Tanzania na kuweka HQ yao soon.maana hii Macimboa da praia ndio base waliobakinayo tu! Na hawana nyingine ya kukimbilia tofauti ta Tananzania.Kwani Tanzania iliruhusiwa kwenda cabo del gado? Majeshi yetu yalikuwa yanalinda mpaka wake tu.. hayakupewa kibali cha kuingia
We Mtusi watakukojoza wewe sisi Watanzania tunajulikana vizuri jipendekezeni tuwafute kwenye ramaniRwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Afu Matusi yamejazana huku Jf yanakimbia kwao yanabanwa mbavu FidoIngekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Unaumwa si bureRwanda wako vizuri Sana, na Kuna siku wataiteka nchi hii na kuitawala
Hakuna kitu hao weweRwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Wewe wasema.Unaumwa si bure
Wasifie tu ila hao tunaweza kuichukua Kigali ndani ya masaa 6 baada ya mapigano kuanzaKa nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?
Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Kutoka tabora ndani ya masaa 6 Kigali inaangukaUnaongea ukiwa Burundi au Bangui? Yaani nchi ambayo ukiwa Tabora unapiga Popote unapotaka ukienda Karagwe itakuwaje si unalenga Ikulu na RPG
Acha kutudanganya mkuu,Rwanda unaona iko vizuri kivita sababu inajihusisha na matukio mengi sana kivita especially Congo tena ya uporaji.kutembea kwao ndo mishahara wanalipwa na pia hawataki wakae sana ndani sababu wanaogopa watafanya mapinduzi.kijeshi kwetu bado sanaIngekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Mfano wale M23 ni wa makamanda wa kinyarwanda tena wepesi sanaMm nimesoma Rwanda, that's just a police state, hawana military capability ya kudeal na Tz, labda kama umeamua tu kubwabwaja.
Vita haipiganiwi mtandaoni,hizi tunaita PR stunts,au propaganda.Rwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Huyo ni chizi aisee Rwanda ni wepesi sana tena sio kwa kusimuliwa bali ni kwa kuona mapigano ya pale kibati miongoni mwa special forceUnaifahamu A100, je pia unaifahamu range yake, nenda kasome ukishapata jibu ndio ukae chini ukiwa umeshiba uongee huu utumbo!
Magaidi wanaonekana Wana njaa kweli na msongo wa mawazo niliona picha zao wakiwa baadhi wameuwawa sidhani kama wanaweza kupambana na hawa jamaa......Magaidi wamesha ukimbia muji wa afungi kwa sasa! Hari iko shwari,soon raia watarudi kwenye makazi yao. SADC bado wana panga mabegi kwenda ku saidia mwanachama.
View attachment 1884673
View attachment 1884674
View attachment 1884675
View attachment 1884676
View attachment 1884677
View attachment 1884678
View attachment 1884679
View attachment 1884680
View attachment 1884681
View attachment 1884682
View attachment 1884684
View attachment 1884685
Yalienda mkuu mama aliruhusu siku nne/tano zilizopitaKwani Tanzania iliruhusiwa kwenda cabo del gado? Majeshi yetu yalikuwa yanalinda mpaka wake tu.. hayakupewa kibali cha kuingia