Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?

Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Unachofanya ni Argument ya kitoto sana Boss na huenda hujapata taarifa kuhusu huko Msumbiji. Ni hivi , the fact kwamba rwanda inaelekea kumaliza hao magaidi msumbiji haimaanishi Tz tumeshindwa bali nchi yetu haijataka kujiingiza katika huo mgogoro kabisa yani hatujaamua kutumia military interventions
Na pia sababu ya jeshi la msumbiji kuwashindwa hao wavaa makobazi isikufanya ukae hapa JF udhani jeshi la msumbiji lipo weak ki hivo ila kilichotokea ni kwamba kuna usaliti jeshini na serikalini kuna watu wana interest na uwepo wa hao magaidi hivo ndio mana magaidi wakawepo huko ila jeshi lina silaha za kutosha
Natamani ningekuwa na muda nikuwekee hapa ushahidi mwingi tu ila sina muda. Nikupe mfano mwingine mmoja.hapo Zaire waziri wa ulinzi alikuwa anashirikiana na waasi, ma jenerali wanaiba pesa zilizotolewa kama budget ya vita, ma jenerali pia wanataka kumuua rais, ma jenerali hao hao pia wana interest zao zingine mbali na pesa, kilichokuja kutokea ni wanajeshi waliuliwa maana war plans ziliuzwa kwa waasi yani leo mnashinda vita then baada ya siku chache mnauzwa then mnakufa
Kilichotokea mwishoni ni rais kufuatwa nyumbani kwake na wanajeshi wanaotaka kumteka, ikabidi aagize kuita jeshi lake akaambiwa ndege za ki vita zilitelekezwa hivo nchi ikaanguka licha ya kuwa na jeshi lenye nguvu na silaha. Naitimisha ya kwamba usifikilie Rwanda inaweza kuipiga Tz wala Tz kuipiga Rwanda maana vita zina mambo mengi sana bwana. Hapo jeshi la msumbiji lenyewe linaweza kufanya hiyo kazi lakini unakuta watu wana intetests zao unakuta kipindi hiki hata silaha zinauzwa na wanajeshi hawali
 
Unaongea ukiwa Burundi au Bangui? Yaani nchi ambayo ukiwa Tabora unapiga Popote unapotaka ukienda Karagwe itakuwaje si unalenga Ikulu na RPG
Jamaa amenishangaza sana huyo. Ka Rwanda mnaweza kuka attack within a day tu. Ukifuatilia historia za vita tokea ww2 mpaka leo utaona kuna sababu kama geographical coverage inaweza kuathili military operation mfano wakati tunaivamia Uganda ilichukua muda mrefu kuizunguka Uganda yote na Hata wanajeshi wa ujerumani walishindwa kuiteka Ulaya yote moja ya sababu ni kwamba kuna nchi ni kubwa mno hata kama haina uwezo wa kijeshi mkubwa ila inaweza kushinda vita maana nyie mtapita maporini mpigwe baridi huko mnyeshewe na mvua muanze kufa
 
Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa, Bado SADC wanapakia Mizigo ku isaidia Msumbiji.
Rwanda tutaijua tu in10 years coming! Inauma sana tena sana Mungu katupa resources ila kuzilinda kutumia vizuri tukashindwa.[emoji22]

View attachment 1885246

View attachment 1885247

View attachment 1885249

View attachment 1885250

View attachment 1885252

View attachment 1885253

View attachment 1885254

View attachment 1885255

View attachment 1885256

View attachment 1885257

View attachment 1885259
Rwanda sasa ajiandae Hawa jamaa siyo watu.
 
Jeshi la Rwanda linastahili sifa lakini pia tupeane fununu juu ya kinachoendelea huko.

Rwanda kapewa shavu na Ufaransa sababu ya maslahi ya Ufransa kwenye kampuni yao ya Total.
Rwanda wanatumia drone za kutosha kuwasaka jamaa hadi misituni.
Kwa bahati mbaya kuna tuhuma wanaua na raia yeyote anayekutwa kimakosa kwenye lens za drone zao akiwa maporini huko.

Walitakiwa wananchi wa huko waambiwe wasiende mashambani au maporini wakati huu kama majeshi yetu ya Tanzania yalivyofanya Kibiti.

Jambo baya zaidi huko Msumbiji wanatutuhumu watanzania tunahujumu mradi huo wa gesi ili hawa wawekezaji warudi Msimbati Mtwara kwenye gesi nyingi sana kuliko Msumbiji. Watanzania wapo hatarini sana wakikutwa mitaani huko Msumbiji hasa maeneo ya kaskazini.
Wanasumbuliwa sana hata na vyombo vya dola vya kule.

Hii imechangiwa zaidi na wale maghaidi wanaongea kiswahili safi cha kitanzania.
Ukweli ni kwamba kuna uwezekano mkubwa walioanzisha vurugu zile ni wale waliokimbia Tanzania. Hivyo serikali ya Tanzania kutuhumiwa inahusika kuhujumu ni mawazo ya kipuuzi. Wale ni wapuuzi tu wanadhani wanamjua zaidi Mungu kuliko wenzao.
 
General alie ilejeshea amani Msumbiji ndani ya mwezi mmoja tu.
Brigadier General Padcal Bahizi.

IMG_20210808_212325.jpg
 
Em nisaidie Mimi laymen kuiona Hyo tofauti
B='WEWE UNATHIBITISHA' kweli hao jamaa (maghaidi) wanamjua Mungu kuliko wenzao.

A=Maghaidi ktk akili yao wanajua WANAMJUA MUNGU KULIKO WENZAO kitu ambacho kinaweza kuwa siyo sahihi kiuhalisia inaweza kuwa ni mtazamo wao tu.

NOTE: Mtu fulani kujua yupo sahihi kwa mtazamo wake si lazima yupo sahihi yeye anajua zaidi anaweza kuwa mpumbavu(siyo mjinga) katika mtazamo wake huo.
Mjinga hajui anakubali na anajua hajui.
Mpumbavu hajui lakini hajui kwamba hajui au hakubali hajui jambo/suala husika bali anafikiri na kujiamini anajua.
 
Nilisema mimi... Itafika muda Rwanda watatuadhiri East africa.siku hiyo inakaribia.
Rwanda wanafanya vizuri sana lakini don't over rate them.
Usichojua ni kuwa Msumbiji awali walikataa usjauri na msaada wa nchi .... ambayo ni jirani wasiende kufanya kama yaliyofanyika Kibiti/Mkiru.

Wangekubali wasingefikia walipofikia. Maana wangekubali basi .... wasingehitaji mgawo kwenye mrabaha/mrahaba wa gesi kama .... wanavyoenda kuupata kupitia tenda waliyopewa na Ufaransa.

Ufaransa walitaka wenyewe walete majeshi lakini African Union na SADC walikataa taifa toka nje ya Africa kuleta majeshi kutatua tatizo la mwanachama wao.

Ubishi, siasa ovyo za Msumbiji pamoja na hisia potofu zimefanya maamuzi sahihi ya gharama nafuu yasitekelezwe kisha wakaja kupewa 'ujiko' Rwanda.
 
Back
Top Bottom