Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Unachofanya ni Argument ya kitoto sana Boss na huenda hujapata taarifa kuhusu huko Msumbiji. Ni hivi , the fact kwamba rwanda inaelekea kumaliza hao magaidi msumbiji haimaanishi Tz tumeshindwa bali nchi yetu haijataka kujiingiza katika huo mgogoro kabisa yani hatujaamua kutumia military interventionsKa nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?
Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Na pia sababu ya jeshi la msumbiji kuwashindwa hao wavaa makobazi isikufanya ukae hapa JF udhani jeshi la msumbiji lipo weak ki hivo ila kilichotokea ni kwamba kuna usaliti jeshini na serikalini kuna watu wana interest na uwepo wa hao magaidi hivo ndio mana magaidi wakawepo huko ila jeshi lina silaha za kutosha
Natamani ningekuwa na muda nikuwekee hapa ushahidi mwingi tu ila sina muda. Nikupe mfano mwingine mmoja.hapo Zaire waziri wa ulinzi alikuwa anashirikiana na waasi, ma jenerali wanaiba pesa zilizotolewa kama budget ya vita, ma jenerali pia wanataka kumuua rais, ma jenerali hao hao pia wana interest zao zingine mbali na pesa, kilichokuja kutokea ni wanajeshi waliuliwa maana war plans ziliuzwa kwa waasi yani leo mnashinda vita then baada ya siku chache mnauzwa then mnakufa
Kilichotokea mwishoni ni rais kufuatwa nyumbani kwake na wanajeshi wanaotaka kumteka, ikabidi aagize kuita jeshi lake akaambiwa ndege za ki vita zilitelekezwa hivo nchi ikaanguka licha ya kuwa na jeshi lenye nguvu na silaha. Naitimisha ya kwamba usifikilie Rwanda inaweza kuipiga Tz wala Tz kuipiga Rwanda maana vita zina mambo mengi sana bwana. Hapo jeshi la msumbiji lenyewe linaweza kufanya hiyo kazi lakini unakuta watu wana intetests zao unakuta kipindi hiki hata silaha zinauzwa na wanajeshi hawali