Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Kwani Tanzania iliruhusiwa kwenda cabo del gado? Majeshi yetu yalikuwa yanalinda mpaka wake tu.. hayakupewa kibali cha kuingia
Achana na chama kinachoitwa SADC aisee! Yani Gaidi anaweka HQ na airport Macimboa da praia mwa bahari ya hindi na kupata supply,sasa tujiandae kusikia wamehamia Tanzania na kuweka HQ yao soon.maana hii Macimboa da praia ndio base waliobakinayo tu! Na hawana nyingine ya kukimbilia tofauti ta Tananzania.
 
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.

Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.

Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?

Mungu tunusuru! [emoji848]
Afu Matusi yamejazana huku Jf yanakimbia kwao yanabanwa mbavu Fido
 
Ach
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.

Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.

Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?

Mungu tunusuru! [emoji848]
Acha kutudanganya mkuu,Rwanda unaona iko vizuri kivita sababu inajihusisha na matukio mengi sana kivita especially Congo tena ya uporaji.kutembea kwao ndo mishahara wanalipwa na pia hawataki wakae sana ndani sababu wanaogopa watafanya mapinduzi.kijeshi kwetu bado sana
 
Rwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Vita haipiganiwi mtandaoni,hizi tunaita PR stunts,au propaganda.
Hawa tulishawapiga kupitia Proxy military zao kule Congo,ukumbuki M23,na kipigo walichopata?M23 ilikuwa inapata mafunzo na siraha kutoka Rwanda.
 
Magaidi wanaonekana Wana njaa kweli na msongo wa mawazo niliona picha zao wakiwa baadhi wameuwawa sidhani kama wanaweza kupambana na hawa jamaa......
 
Back
Top Bottom