Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Jeshi la Rwanda linastahili sifa lakini pia tupeane fununu juu ya kinachoendelea huko.

Rwanda kapewa shavu na Ufaransa sababu ya maslahi ya Ufransa kwenye kampuni yao ya Total.
Rwanda wanatumia drone za kutosha kuwasaka jamaa hadi misituni.
Kwa bahati mbaya kuna tuhuma wanaua na raia yeyote anayekutwa kimakosa kwenye lens za drone zao akiwa maporini huko.

Walitakiwa wananchi wa huko waambiwe wasiende mashambani au maporini wakati huu kama majeshi yetu ya Tanzania yalivyofanya Kibiti.

Jambo baya zaidi huko Msumbiji wanatutuhumu watanzania tunahujumu mradi huo wa gesi ili hawa wawekezaji warudi Msimbati Mtwara kwenye gesi nyingi sana kuliko Msumbiji. Watanzania wapo hatarini sana wakikutwa mitaani huko Msumbiji hasa maeneo ya kaskazini.
Wanasumbuliwa sana hata na vyombo vya dola vya kule.

Hii imechangiwa zaidi na wale maghaidi wanaongea kiswahili safi cha kitanzania.
Ukweli ni kwamba kuna uwezekano mkubwa walioanzisha vurugu zile ni wale waliokimbia Tanzania. Hivyo serikali ya Tanzania kutuhumiwa inahusika kuhujumu ni mawazo ya kipuuzi. Wale ni wapuuzi tu wanadhani wanamjua zaidi Mungu kuliko wenzao.

Hahaaaa watu wa haki za binadamu mmeanza kutetea magaidi hebu tuwekee link tuone hizo tuhuma za drones kuua wananchi huko mashambani.
 
Siro ajipange maana magaidi watakua wamekimbilia kwetu.


 
kwa hao raia vile wanazungumza inaonekana mchumbiji ardhi yao bado bikra sana, yaan kuna fursa kubwa sana huko.
 
Rwanda bwana

Kagame anajisikia sana yaani....hapo wanajitangaza kila media kwamba wao ni saviours

Not true

Rwandan soldiers are just normal useless clowns,Ugandans take them for the lunch!

Tatizo Kagame anajitia anapenda sana aonekane supreme wakati ni lies
Kwahiyo we mjuaji kuliko waganda wenyewe?

IMG_20210809_181853.jpg


IMG_20210809_181857.jpg
 
Kuna kitu nimekigundua kijasusi
Hili kuonekana tanzania ikiingia watasambalitaka kurudi huku kama kibiti.ndio maana wametumia kijografia kutuma rwanda kusambaratisha.
Wakirudi tanzania na mipaka ya nchi zinazozunguka mingine watafinywa kitaalamu zaidi bira kutumia nguvu sana
 
Acha hizi story za kisenge za 10 years ago kwenye nchi ambayo sio Uganda au Rwanda,

Ni Congo walikutana huko,with different motives,hivyo usilete hizi alinancha

Refer ugomvi wa Kagame na Museveni in 2019-2020 wa mpaka wa Rwanda na Uganda ,Kagame kaomba msamaha mwenyewe!

Kagame ni msenge tu...anatumia media kujitangaza ana uwezo mkubwa but in reality hiyo ni marketing tupu,Kikwete anamjua vizuri

Kwanza alijifanya kumletea mdomo Mkapa,akanyooshwa,then akajifanya kumfunulia pua Kikwete,akanyooshwa

Kagame ni kiazi kabisa
cc Gentamycine
 
Back
Top Bottom