Mchezo wa draft na sheria zake

Namaanisha Mpinzani wako kukupiga wewe Force King,
Yaani wewe kulazimishwa kuingia King bila kupenda,
Bila kete kuliwa... hakuna unapoweza kupanga kete zikaachia upenyo wa kuingia kingi...
 
Bila kete kuliwa... hakuna unapoweza kupanga kete zikaachia upenyo wa kuingia kingi...
Wewe utakula zake huyo anaekupa uingie King,
Lakini Yeye hatokula zako,
Mwishowe ukishagusa King, ye anakua hana za kukuvesha, ila we utakua nazoi ulizokula wakati akikupa zake
 
Wewe utakula zake huyo anaekupa uingie King,
Lakini Yeye hatokula zako,
Mwishowe ukishagusa King, ye anakua hana za kukuvesha, ila we utakua nazoi ulizokula wakati akikupa zake
Kete ya kwanza atakayonipa nimkule... nikimkula kete yangu inakuwa imekaa kwenye nafasi ya kuliwa. Na kula si ni lazima?
 
Ni kugoma tuu, au hii ni kati ya sheria za mchezo?
 
Kete ya kwanza atakayonipa nimkule... nikimkula kete yangu inakuwa imekaa kwenye nafasi ya kuliwa. Na kula si ni lazima?
Ha ha ha,
Hivi Babu hakuna uwezekano wa we kula na kuangukia katikati ambako sio mbele ya kete yake kwani?
Manake Me draft sio mtaalamu sana, nalijua kiasi tu
 
Kete ya kwanza atakayonipa nimkule... nikimkula kete yangu inakuwa imekaa kwenye nafasi ya kuliwa. Na kula si ni lazima?
Labda nisema hivi.. mi nakupa wewe ule ili uingie kingi ili baadae ukishaingia kingi niiue king yako.. so nimekupa umekushakula na tayari umeshaingia king sas mimi nakosa kete ya kukuvisha king yako, ndo hapo game inapoisha.. maana nakuwa sina kete, nilikulisha wewe kete ili uingie king then niue king yako.
 
Hebu pambana na hilo draft hapo kwanza uone unachoongea kama kinawezekana...

Mkuu inawezakana sana kwa maana wewe kama hujala kete yake ukimpiga force king ili uue king yake na hauna ya kumvalisha hapo mpinzani wako anakuwa kashinda kwa sheria kwa mchezo hauendelei mpaka umvalishie king yake
Dada amekushinda aisee, kila nikiangalia huo mchezo, huna jinsi ya kufika kingi wote mkiwa na kete zenu ubaoni. Ingawa sina uzoefu mwingi, nimeanza kuangalia watu wakicheza mwaka 1994 mpaka leo, jibu ni HAIWEZEKANI.
 
See Me Plz
 
kuna jamaa nimeshuhudia kafungwa goli la hivyo. kapiga force king na hana kete ya kuvisha na kisheria kingi haichezi bila kuwa crowned. Technical goal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…