Lady Ra
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 879
- 991
Namaanisha Mpinzani wako kukupiga wewe Force King,Hahahha... natamani niwe nimekuelewa kama nilivyokuelewa...
Maana nyie mna maneno ya mafumbo, napaswa kuwa makini
Yaani wewe kulazimishwa kuingia King bila kupenda,