tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Niamini mkuu kanda yote ya ziwa kuanzia singida hakuna gemstone za ghali, hizo ni cheap stone. Gemstone zenye bei ziko tatu tu, inaanza spinal iko moro, inakuja green garnet halafu TanzaniteMkuu kwa uelewa wangu sidhani kama itakuwa cheap germstome. Ipo ndani ya eneo letu porini huko kanda ya ziwa.
Nikifika nitakutumia picha kwanza uhakiki
Ukitaja kijiji tuu watu watakwambia ni madini ya aina gani. Kuna watu wanajua kunusa kinyama. Uliyoiona sio tanzanite jombaa. Ingekuwa ni yenyewe usingekuwa unakaa unatype hapa wakati unajua ukienda sehemu fulani unakuwa bilionea.Mkuu kwa uelewa wangu sidhani kama itakuwa cheap germstome. Ipo ndani ya eneo letu porini huko kanda ya ziwa.
Nikifika nitakutumia picha kwanza uhakiki
Hiyo kuna mtu alipata kama sikosei 2014 alipiga zaidi ya hiyo 8bn mzigo ambao hata kg haufikiNishawahi yasikiaaa
Ni jamii ya emarold ni balaaaa
Ova
Umemaliza mkuu madini ni harufu tu watu dakika wameshafika na kuchimbaUkitaja kijiji tuu watu watakwambia ni madini ya aina gani.
Kuna watu wanajua kunusa kinyama. Uliyoiona sio tanzanite jombaa.
Ingekuwa ni yenyewe usingekuwa unakaa unatype hapa wakati unajua ukienda sehem fulani unakuwa bilionea
Babu kna wakati tulikuwa tunduru ila kitambo sana, Kna jiwe linaitwa alexandrite ni balaaaa, sema Tunduru ilishakufaaa.Niamini mkuu kanda yote ya ziwa kuanzia singida hakuna gemstone za ghali,hizo ni cheap stone. Gemstone zenye bei ziko tatu tu, inaanza spinal iko moro, inakuja green garnet halafu tanzanite
Wanaogundua madini wengi wao ni wakata mbao na wakulima Sema hawajuagi. Wanaosanuka ni wengine. Ushahidi nnao winza mpwapwa ilivyofumukaga kipindi kile.Ukitaja kijiji tuu watu watakwambia ni madini ya aina gani.
Kuna watu wanajua kunusa kinyama.
Uliyoiona sio tanzanite jombaa.
Ingekuwa ni yenyewe usingekuwa unakaa unatype hapa wakati unajua ukienda sehem fulani unakuwa bilionea
Huyo ni bilionea tokea zamani,hakuna kitakachomtafuna coz ana hela tokea zamani na mawe katoa kwenye mgodi wakeKitakachomtafuna huyo bilionea ni umasikini wa akili!
Ndio ndio watu wanaongea utazani Laizer ni limbukeni wa pesa!huyo ni bilionea tokea zamani alishatoa mawe sana tu.Hizo ni story kua kawe bilionea,wakti hizo pesa kashika zaidi ya hizo miaka 7 imepita..laizer ni billionea kitambo pia hiyo pesa anabaki na nusu mana kuna mdhamini aliekua anahudumia anachukua chake
Hilo nlishasikia shida yake ni upatikanaji,unaanza kazi ukiwa kijana mpka unazeeka hujapata kitu. Tanzanite inapatikana kwa wingi ilimradi tu mmiliki awe ni mpambanaji na mgodi uwe wa kisasa.Babu kna wakati tulikuwa tunduru ila kitambo sana
Kna jiwe linaitwa alexandrite ni balaaaa. Sema Tunduru ilishakufaaa.
Ova
Hahhahaah babes huyu si nduguyo kabisa huyu jamani.. Tuandae matumbo basi nyama ya kwa Mrombooo itukomeeNjoo Mbuguni basi tupate mgao huu[emoji7]..Alafu tukitoka huku tuelekee kwa Moromboo tukale nyama.
Mwaka jana alinunua lift za mall yake 1.6bn china lift 2 na ngazi za umeme 4,halafu unasema anaenda kua bilionea[emoji16][emoji16]Ndio ndio watu wanaongea utazani Laizer ni limbukeni wa pesa!huyo ni bilionea tokea zamani alishatoa mawe sana tu.
Tatizo watu hawamjui na ukimuangalia jinsi alivyo wanamuona limbukeni wakati ni bilionea miaka mingi tu na asset za kutosha,ile mall tu anayoimalizia sakina pale inamdhihirishia kua ni bilionea.Mwaka jana alinunua lift za mall yake 1.6bn china lift 2 na ngazi za umeme 4,halafu unasema anaenda kua bilionea[emoji16][emoji16]
Huyo kashika hela toka 2010 billiones,huo mgodi alikua share na wachinaHii ni kithibitisho Tosha kwamba ukikomaa na unachokiamini na kufanya bila kukata tamaa hakika utatusua pakubwa sana
Nasikia kwa Miaka 17 hajawai chomoka hata jiwe la milioni moja
Safi sana vijana komaeni na ndoto zenu achaneni ma kelele za JF keyboard warriors
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ilikuwaga juu ya 1m.. ndio maana nikashangaa hiyo beiBei ya raw tanzanite ni sh ngapi mkuu??
Ilikua 1.3m kwa top colour sasa hivi ni laki 4 mpka laki 5 kwa top colourBei ilikuwaga juu ya 1m.. ndio maana nikashangaa hiyo bei