Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Cheki ulivyo kichwa panzi!!!so unazani Magufuli ndio kaibua mabilionea wapya!! Kama hujui kitu nyamaza huyo unaemsemea Magufuli ndio kamfanya awe bilionea ni tajiri bilionea tokea enzi ya Mkapa
 
Nikiangalia structure ya hili jiwe, inawezekana alichoonesha ni sehem tu ya alichopata. Hili jiwe ni kubwa sana achunguzwe ameficha zaid ya nusu yake.
 
Hilo nlishasikia shida yake ni upatikanaji,unaanza kazi ukiwa kijana mpka unazeeka hujapata kitu.....tanzanite inapatikana kwa wingi ilimradi tu mmiliki awe ni mpambanaji na mgodi uwe wa kisasa
Kweli
Ulishe mgodi

Ova
 
Kumbe ndio Tanzanite ilivyo. Kijijini kwetu ndani ndani huko nilishawahi ona mawe ya namna hii mahali fulani..

Na hadi hivyi sasa sijaona mtu akijihusisha kuchimba haya mawe, Mungu akinijalia mwezi ujao nitafika kuyahakiki...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahi kwani nafasi ni chache
 
Ukitaja kijiji tuu watu watakwambia ni madini ya aina gani. Kuna watu wanajua kunusa kinyama. Uliyoiona sio tanzanite jombaa. Ingekuwa ni yenyewe usingekuwa unakaa unatype hapa wakati unajua ukienda sehemu fulani unakuwa bilionea.

Kijiji fulani ndani ndani huko rorya. Karibu na wanapokaa wajaluo..
 
Hakuna mchimbaji apo uyo ni TISS
 
Sasa kwani shida iko wapi mkuu. Mawe kama bado yapo shimoni si ni yake atakuja tu kuyauza, serekali ifanye uchunguzi wa nini asa

Ulitaka yawe na urefu gani ndio ujue kuwa ore body imekatikia hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…