Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Ni kishauri kitukimoja,kama haumjui mtu..funga doma achakuropoka..huyo ni tajiri muda mrefu sana..hapa mererani anashimo analohudumia zaidi ya miaka 10,na anawahudumia wafanyakazi 400,usilete akili zako za madaftari then unakuja kujaji watu wengine
Wewe ndiye Tajiri Tanzanite pekee ulie masikini!
 
Dah!...Kuna binadamu wana nyota nzuri sana.
 
Patient
Consistency
Focus

But it Cost money to get money.
 
Attachments

  • IMG_20200624_151526_566.jpg
    IMG_20200624_151526_566.jpg
    23.2 KB · Views: 1

Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.

Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo thamani yake ni shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.

“Na utofauti wake ni kwamba mawe ya uzito huo hayajawahi kupatikana kwenye machimbo ya Tanzanite tangu machimbo yaanze na yamepatikana ndani ya ukuta wa Mirereni kwahiyo hii ni rekodi mpya ya kupata mawe yenye uzito huo,” amesema Prof. Msanjila.

Profesa Msanjila amesema kuwa sekta ya madini inauwezo wa kumfanya mtu kuwa bilionea kwa haraka, ameongeza kuwa kunahitaji kuwa uwekezaji wa dhati katika sekta hiyo.

Serikali imenunua mawe hayo kutoka kwa mchimbaji huyo na yatawekwa katika makumbusho ya taifa
Serikali wamenunua? Bila shaka huyo jamaa kapewa milioni 10 tu, hizi bilioni 7.79 watu wamekula
 
Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.

Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo thamani yake ni shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.

“Na utofauti wake ni kwamba mawe ya uzito huo hayajawahi kupatikana kwenye machimbo ya Tanzanite tangu machimbo yaanze na yamepatikana ndani ya ukuta wa Mirereni kwahiyo hii ni rekodi mpya ya kupata mawe yenye uzito huo,” amesema Prof. Msanjila.

Profesa Msanjila amesema kuwa sekta ya madini inauwezo wa kumfanya mtu kuwa bilionea kwa haraka, ameongeza kuwa kunahitaji kuwa uwekezaji wa dhati katika sekta hiyo.

Serikali imenunua mawe hayo kutoka kwa mchimbaji huyo na yatawekwa katika makumbusho ya taifa
Isije tu kuwa janja mpya ya kuchota pesa kwa ajili ya kampeni maana hii nchi hii hapana.
 
Hii ni kithibitisho Tosha kwamba ukikomaa na unachokiamini na kufanya bila kukata tamaa hakika utatusua pakubwa sana

Nasikia kwa Miaka 17 hajawai chomoka hata jiwe la milioni moja

Safi sana vijana komaeni na ndoto zenu achaneni ma kelele za JF keyboard warriors

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ni billionaire kitambo sana, maskin kajamba nani tu huwezi pata hiyo kitu
 
Jf anzisha Mada. Kisha wataalamu wa hiyo mada utawakuta huku huku. Usifadhaike wataalamu wakibishana. Changanya na zako.
 
Sasa nashauri Serikali kupitia Wizara ya Madini na Kituo cha Uwekezaji wamsaidie huyu Bilionea mpya kuiwekeza hiyo bilioni saba ili izae Zaidi na izalishe ajira kwa wana Mererani na Simanjiro kwa faida ya Tanzania yetu au siyo wana JF?
Labda yeye awashauri serikali mbona hiyo pesa kaizoea zaidi ya miaka kumi,asset zake zinazidi hiyo pesa
 
Kwahiyo hayo maghorofa wa wenye migodi yaliyotapakaa arusha,yalijengwa na jpm
Mkuu serikali imetengeneza mazingira rafiki kusupport wachimbaji wadogo wadogo tunapaswa kupongeza kwa juhudi zinazoendelea huenda Ayo madini tusingeyaona ingekua enzi zile za ulanguzi
 
Mchimbaji wa madini hakopeshwi na taasisi yeyote,mtu anauza mpka mali zake kufadhili mgodi halafu unasema ni juhudi za flani,njoo field tukupe tochi uzame ndio uje hapa kuongea utumbo.
Mgodini wa tanzanite unaenda mpka mita 3000 chini sio kama hiyo ya dhahabu unachamba kama shimo la choo.
Compresor na dinga zinafanya kazi 24hrs hazizimwi mtu analipa umeme mpka 2m kwa wiki unasema juhudi za flani
 
Waeleze bana mtu anakurupuka tu anasema ni juhudi za serikali wakati watu wengi wamefilisika kwa kuhudumia migodi bila kutoa mawe.
 
Achana na hao wasifia ujinga,huo mgodini umetumia mabilioni kuchimba na kuweka miundombinu ya kisasa,pia umeshatoa sana madini ya mabilioni.
Laizer anamali zaidi ya hiyo pesa istoshe kuna mfadhili aliehudumia mpka kutoa mawe yupi ambae anachukua 50% ya mawe yote.
Kuna mawe madogo mengi ambayo yanazidi thamani hayo makubwa ambayo serikali haijayanunua
 
Ndio ndio mfadhili si ni kakaa yule mwenye point zone ndo alikua anahudumia pale mpaka hayo mawe yalivyotoka.
 
Back
Top Bottom