Kyokola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 1,402
- 1,894
Wapi madem waliomkataa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi madem waliomkataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Fungu la kumi amoe Nani?Hongera sana kwake Mungu wetu ni mwema
Akumbuke fungu la 10 na sadaka kwa jamii zaidi amwombe Mungu amwongoze kuutumia huo utajili katika njia impendezayo Mungu
"Kufanikiwa kwa mpumbavu ...."
Pumbavu kabisa wewe,migodi imefungwa umeme toka 2007,huo mgodi wa laize umeshatoa madini sana bila juhudi za meko.Hili liko wazi mfano migodi mingi sasa hivi serkali imepeleka umeme wa tanesco bei nafuu tofauti na zamani ambapo iliwabidi wachimbaji kununua dizeli na mashine kwa ajili ya kuendesha mgodi
Sema watu wanaingiza chuki zao hili halipingiki Magufuli amefanya kazi kubwa kwenye sekta ya madini
Mbona povu hivi,vipi mkuu???Pumbavu kabisa wewe,migodi imefungwa umeme toka 2007,huo mgodi wa laize umeshatoa madini sana bila juhudi za meko.
Hao wamiliki wa migodi ndio wamejenga arusha sio utalii au mazao.maghorofa zaidi ya 40 arusha yanamilikiwa na wachimba madini wa enzi hizo.
Watu wa utalii wenye maghorofa hawafiki watatu,sunda amenunua share zote za mountmeru hotel zaidi ya 30bn,huyo amemiliki migodi ya tanzanite toka baba yako anachunga mbuzi kijijini
Umeme huko tokea 2007 2008Mbona povu hivi,vipi mkuu???
Unapotanguliza hasira sehemu ambayo ni ya kuchangia kawaida,itaonekana labda ni majungu na visa vyako binafsi.aliyesema juhudi za jpm anatakiwa asikilizwe kisha akosolewe kwa fact,maana nayeye anazo zake,apewe nafasi azitetee.
Sasa unatukana tuuu,madini kapata masai,hela imetoa serikali.hatujui unaumizwa na kitu gani.
Sasa ni swala la kujibu hivi tu,sioni sababu ya mtu kutukana hapa.Umeme huko tokea 2007 2008
Upo
Ova
Pumbavu kabisa wewe,migodi imefungwa umeme toka 2007,huo mgodi wa laize umeshatoa madini sana bila juhudi za meko.
Hao wamiliki wa migodi ndio wamejenga arusha sio utalii au mazao.maghorofa zaidi ya 40 arusha yanamilikiwa na wachimba madini wa enzi hizo.
Watu wa utalii wenye maghorofa hawafiki watatu,sunda amenunua share zote za mountmeru hotel zaidi ya 30bn,huyo amemiliki migodi ya tanzanite toka baba yako anachunga mbuzi kijijini
Bado una nafasi ya kuyanunua tupe 14.5b tutakupa mkuu sisi tutapata faida mara 2Kwa uzito wa mawe hayo kulipwa 7.7 Billion bado kapunjwa kodogo, mi nilitaka kumpa 10 Billion ambapo London stock market wali pledge kunilipa 15 Billion
Hahaha si unajua jf beef haziishi mkuuSasa ni swala la kujibu hivi tu,sioni sababu ya mtu kutukana hapa.
Mgodi upi huo ntjieeeee kamandaTatizo wewe unamihemuko unazungumzia mgodi mmoja tu wa tanzanite ndio akili zako zilipoishia
Wakati Magufuli anaingia madarakani migodi mingi asilimia kubwa ilikuwa haijafungwa umeme, uache ubishi wa kitoto
Leo hii hata migodi ya wachimbaji wadogo wamepelewa umeme tofauti na kipindi cha nyuma wakipokuwa wanateseka kuendesha migodi yao
Usije kuona tumetulia ukaona hatujui kitu mzee
By the way Babu yangu R.I.P alikuwa anamiliki gari miaka ya 80 na baadae mashine akawa anawasagia Unga nyie walugaluga ,alikuwa na mifugo zaidi ya 200
Huku Ss tunatumia generatorTatizo wewe unamihemuko unazungumzia mgodi mmoja tu wa tanzanite ndio akili zako zilipoishia
Wakati Magufuli anaingia madarakani migodi mingi asilimia kubwa ilikuwa haijafungwa umeme, uache ubishi wa kitoto
Leo hii hata migodi ya wachimbaji wadogo wamepelewa umeme tofauti na kipindi cha nyuma wakipokuwa wanateseka kuendesha migodi yao
Usije kuona tumetulia ukaona hatujui kitu mzee
By the way Babu yangu R.I.P alikuwa anamiliki gari miaka ya 80 na baadae mashine akawa anawasagia Unga nyie walugaluga ,alikuwa na mifugo zaidi ya 200
matajiri feki wa kiswahili matapeli angelamba suti ya mabilioni kujionyesha ana pesa mabilionea wa kipemba na kiarabu akina bakheresa unakuta anatembea kavaa kanzu no makobasi chini anaalikwa na maraisi wakiomba awekeze kwaoIla huyo laizer ingawa kanizidi hela, mbona amekaa kishamba sana, hela inafuata watu washamba washamba..dooh
Wewe pimbi kweli labda mererani ya kijijini kwenu,opec hakuna mgodi mpya na ndipo haya madini yametoka migodi yote ya matajiri wanatumia umeme miaka 10 iliyopita.hakuna mgodi mpya eneo hilo uliyofungwa umeme awamu hii....mahaba yako kwake peleka lumumbaTatizo wewe unamihemuko unazungumzia mgodi mmoja tu wa tanzanite ndio akili zako zilipoishia
Wakati Magufuli anaingia madarakani migodi mingi asilimia kubwa ilikuwa haijafungwa umeme, uache ubishi wa kitoto
Leo hii hata migodi ya wachimbaji wadogo wamepelewa umeme tofauti na kipindi cha nyuma wakipokuwa wanateseka kuendesha migodi yao
Usije kuona tumetulia ukaona hatujui kitu mzee
By the way Babu yangu R.I.P alikuwa anamiliki gari miaka ya 80 na baadae mashine akawa anawasagia Unga nyie walugaluga ,alikuwa na mifugo zaidi ya 200
Mm namtambua bilioneashilla tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]matajiri feki wa kiswahili matapeli angelamba suti ya mabilioni kujionyesha ana pesa mabilionea wa kipemba na kiarabu akina bakheresa unakuta anatembea kavaa kanzu no makobasi chini anaalikwa na maraisi wakiomba awekeze kwao
nakumbuka raisi wa Namibia alienda nyumbani kwa bakhresa Kumsihi akawekeze Namibia
Mitapeli mingi hasa miswahili utaijua kwa suti linajipresent kitapeli lionekane lina pesa
Masai matajiri hawana show off. Anajivalia nguo Lake la kimasai hata kama anaenda ulaya kukaa hoteli ya nyota tano na kupokelewa icily.
wewe utakuwa mtani wangu mhaya kwa kujioyesha feki hamjambo hata kama mia mfukoni huna kingereza na suti lazima!!!
Achana na huyo kenge anaongea tu vitu havijui!!eti serikali imepeleka umeme wa Bei nafuuUnajua umeme uliwekwa kipindi gni huko
Ova
Wahi leo uchungu usikushikie njianiMbona povu hivi,vipi mkuu???
Unapotanguliza hasira sehemu ambayo ni ya kuchangia kawaida,itaonekana labda ni majungu na visa vyako binafsi.aliyesema juhudi za jpm anatakiwa asikilizwe kisha akosolewe kwa fact,maana nayeye anazo zake,apewe nafasi azitetee.
Sasa unatukana tuuu,madini kapata masai,hela imetoa serikali.hatujui unaumizwa na kitu gani.
Povu tenaWahi leo uchungu usikushikie njiani
Akikujibu nitagMgodi upi huo ntjieeeee kamanda
Ova
Hao wao ni kuongea uharo hata kushika chepe mgodini hawezi,wanaongea wameshachukua buku 7 zao hapo lumumbaAchana na huyo kenge anaongea tu vitu havijui!!eti serikali imepeleka umeme wa Bei nafuu