Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Kama sio soko la madini limeshuka kwenye soko la dunia sababu ya covid ... nadhani angepata mara nne zaidi ya hiyo hela iliyotajwa
madini gani yameshuka ktk soko la dunia kutokana na covid ..., kama gold mbona imekuwa ikipanda mpaka sasa
 
Afadhali mkuu umeweka historia sawa.
Mtu anamiliki mgodi toka kitambo halafu wanasema amekuwa bilionea sasa hivi
Sasa ajabu ni nini yani?we ukimjua huyo kua ni bilionea maana yake kila mtu anamjua?na kama ni bilionea kitambo ndo nini kweni? Wabongo bwana
 
Pumbavu kabisa wewe,migodi imefungwa umeme toka 2007,huo mgodi wa laize umeshatoa madini sana bila juhudi za meko.
Hao wamiliki wa migodi ndio wamejenga arusha sio utalii au mazao.maghorofa zaidi ya 40 arusha yanamilikiwa na wachimba madini wa enzi hizo.
Watu wa utalii wenye maghorofa hawafiki watatu,sunda amenunua share zote za mountmeru hotel zaidi ya 30bn,huyo amemiliki migodi ya tanzanite toka baba yako anachunga mbuzi kijijini
Upo sahihi. 2018 nilikuwa na mbunge wa siha tulienda hotel flan alikuwa na meeting na huyu jmaa na wenzake ili wawekeze kwenye hospital aliyokuwa akijenga. Walifika na mashuka yao ya kimasai nikashangaa sana. Jamaa anaendeshwa na toyota land cruiser hardtop 2016.

Mzee akaniambia nisishangae hawa jama wanapesa chafu za mawe. Mahoteli makubwa mjini wanamiliki wao ila ukienda makazi wanayoishi huwezi hamini. Wanaishi kawaida sana.
 
Upo sahihi. 2018 nilikuwa na mbunge wa siha tulienda hotel flan alikuwa na meeting na huyu jmaa na wenzake ili wawekeze kwenye hospital aliyokuwa akijenga. Walifika na mashuka yao ya kimasai nikashangaa sana. Jamaa anaendeshwa na toyota land cruiser hardtop 2016.

Mzee akaniambia nisishangae hawa jama wanapesa chafu za mawe. Mahoteli makubwa mjini wanamiliki wao ila ukienda makazi wanayoishi huwezi hamini. Wanaishi kawaida sana.
Usemalo ni kweli hizo gari amenunua 2014 brandnew toka toyota tanzania,hardtop na hilux revo pamoja na kujenga mall
 
Nilifikiri serikali ya wanyonge ingeenda kuipiga mnada na kumpa highest value..
Kumbe imeamua kuinunua yenyewe..

Halafu hukawii kukuta hii ni sarakasi tusahau timbwili linalomkuta ZZK na Bwege..🙄

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Na kama ameuzia serikali anaweza kubabaishwa sana kulipwa pesa yake. Ila wamasai nao sio watu wa mchezo.mchezo
Serikali watakuwa wanampa miilioni 50 kila mwaka. Washenzi sana. We subiri baada ya miaka 2 utamsikia Laizer analia
 
Gemstone ni biashara kama kamari unauzia popote,istoshe wahindi ndio walikua wananunua mawe kwa bei nzuri sasa hivi wote wameondoka wamebaki waswahili wenye mitaji ya kuungaunga tu.
Sunda,matias,laizer,onesmos,abdilahi,saitoti wote ni mabilionea kupitia kwa wahindi.

Hawajawahi kuibiwa mawe au kudhulumiwa sunda anamiliki mountmeru hotel kwa pesa zake mwenyewe kutokana na tanzanite
Hawa ndio wale wale wanaokotoa habari na kuja kuziweka humu bila kujua kuna watu wanajua hizo biashara zaidi yao.

Umemtaja abdillah nkakumbuka hustle zake mwanzoni kabisa kachukua mgodi.
 
Huko makumbusho ya taifa hiyo tanzanite inaenda kuyeyuka na kuwekwa fake.

Si tuliambiwa BOT itaanzisha utaratibu wa kuhifadhi madini na vito,why makumbusho ya taifa?

BTW:Kuna uwezekano tanzanite kubwa zaidi ya hiyo ilishawahi kupatikana sema jinsi hii biashara ilivyokuwa kabla ya 2015 ilikuwa siyo rahisi hata kujua nani kapata nini.


Walikua wanapata viloba kwa viloba back in the days, wakina Mathias Manga , Sunda , Chusa na wengineo wamepata Tanzanite zaidi ya hiyo

Ni vile zamani kulikua hakuna ufatiliaji wa serikali na wenyewe wachimbaji walikua hawajitangazi wanafanya siri wakipata mawe
 
Back
Top Bottom