atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Ndie huyo huyoMzee baba hivi huyu si ndio laiser yule alikuwa ma wachina ? Pia alikuwa anamiliki manyara in?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndie huyo huyoMzee baba hivi huyu si ndio laiser yule alikuwa ma wachina ? Pia alikuwa anamiliki manyara in?
Nan huyo anawadanganya?!,huyo ni bilionea long time,,,ana mall hapo Arusha ambayo thaman yake ni zaid ya hio helaHii ni kithibitisho Tosha kwamba ukikomaa na unachokiamini na kufanya bila kukata tamaa hakika utatusua pakubwa sana
Nasikia kwa Miaka 17 hajawai chomoka hata jiwe la milioni moja
Safi sana vijana komaeni na ndoto zenu achaneni ma kelele za JF keyboard warriors
Sent using Jamii Forums mobile app
Mengi Matunda?!!!!![emoji848][emoji848][emoji848]Hivi mengi Matunda bado yuko huko mererani
Ova
Hamna mtu mwenye jina kama hili mireranHivi mengi Matunda bado yuko huko mererani
Ova
Hivi Yule Makaaya kwao si mbuguniNjoo Mbuguni basi tupate mgao huu[emoji7]..Alafu tukitoka huku tuelekee kwa Moromboo tukale nyama.
Hii tweet ya huyu jamaa ni uongo mtupu huyu Laizer amefanya kazi na wachina wametoa mawe sanaPatient
Consistency
Focus
But it Cost money to get money.
Achana nao wanadhani Tanzanite ni dhahabuMchimbaji wa madini hakopeshwi na taasisi yeyote,mtu anauza mpka mali zake kufadhili mgodi halafu unasema ni juhudi za flani,njoo field tukupe tochi uzame ndio uje hapa kuongea utumbo.
Mgodini wa tanzanite unaenda mpka mita 3000 chini sio kama hiyo ya dhahabu unachamba kama shimo la choo.
Compresor na dinga zinafanya kazi 24hrs hazizimwi mtu analipa umeme mpka 2m kwa wiki unasema juhudi za flani
Wanaume wanapozungumza kaa kimya usipende kudandia tren kwa mbele,huu uneme unajua upo huku toka lin?[emoji856][emoji856]Hili liko wazi mfano migodi mingi sasa hivi serkali imepeleka umeme wa tanesco bei nafuu tofauti na zamani ambapo iliwabidi wachimbaji kununua dizeli na mashine kwa ajili ya kuendesha mgodi
Sema watu wanaingiza chuki zao hili halipingiki Magufuli amefanya kazi kubwa kwenye sekta ya madini
Ni wivu tu in Gwaji boy voiceWatu wanamshobokea pesa zake za kawaida na atafirisika tu
We hujui umeandika nin hapa huyo dogo Jeff atawadanganya sana,huo mgodi toka umeanza kazi hata miaka 15 haijafika ss hebu muulize hio miaka 17 ameitoa wap?Mkuu umeandika nini hapa, jamaa alipost kuhusu uyo Mzee week hulo nyuma kabla ajapata jiwe
Muda mwengine MTU unaweza andika ujinga mpaka ukahisi unajibaka ndio hiki.
Yule dingi wa kimaasai anaonekana ana mawe..alikuwa anajenga shopping mall kabla hata ya kutusua haya maweAfilisike wakati kaziongeza
Mtu Ana miradi kibaooo
Au nyie ndiyo mshawazoea mabilionea wenu wasanii wachungaji makanjanja
Ova
Mbona huwaombei mazuri wayahudi watu pekee wa Mungu wa kweli? Na wewe pia upate mibaraka?Muombee mazuri mwezako, Ukimuombea mazuri Mungu hukupatia na ww pia
Kumbe yupo kwenye game kitambo!?Yule dingi wa kimaasai anaonekana ana mawe..alikuwa anajenga shopping mall kabla hata ya kutusua haya mawe