Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Hii ni kithibitisho Tosha kwamba ukikomaa na unachokiamini na kufanya bila kukata tamaa hakika utatusua pakubwa sana

Nasikia kwa Miaka 17 hajawai chomoka hata jiwe la milioni moja

Safi sana vijana komaeni na ndoto zenu achaneni ma kelele za JF keyboard warriors

Sent using Jamii Forums mobile app
Nan huyo anawadanganya?!,huyo ni bilionea long time,,,ana mall hapo Arusha ambayo thaman yake ni zaid ya hio hela
 
Mchimbaji wa madini hakopeshwi na taasisi yeyote,mtu anauza mpka mali zake kufadhili mgodi halafu unasema ni juhudi za flani,njoo field tukupe tochi uzame ndio uje hapa kuongea utumbo.
Mgodini wa tanzanite unaenda mpka mita 3000 chini sio kama hiyo ya dhahabu unachamba kama shimo la choo.
Compresor na dinga zinafanya kazi 24hrs hazizimwi mtu analipa umeme mpka 2m kwa wiki unasema juhudi za flani
Achana nao wanadhani Tanzanite ni dhahabu
 
Hili liko wazi mfano migodi mingi sasa hivi serkali imepeleka umeme wa tanesco bei nafuu tofauti na zamani ambapo iliwabidi wachimbaji kununua dizeli na mashine kwa ajili ya kuendesha mgodi

Sema watu wanaingiza chuki zao hili halipingiki Magufuli amefanya kazi kubwa kwenye sekta ya madini
Wanaume wanapozungumza kaa kimya usipende kudandia tren kwa mbele,huu uneme unajua upo huku toka lin?[emoji856][emoji856]
 
Hivi wema sepetu bado hajaolewa?? Achangamkie fursa Kama alivyochangamkia kwa mtoto wa Abdilai akaliwa na kurudi Dar.
 
Mkuu umeandika nini hapa, jamaa alipost kuhusu uyo Mzee week hulo nyuma kabla ajapata jiwe

Muda mwengine MTU unaweza andika ujinga mpaka ukahisi unajibaka ndio hiki.
We hujui umeandika nin hapa huyo dogo Jeff atawadanganya sana,huo mgodi toka umeanza kazi hata miaka 15 haijafika ss hebu muulize hio miaka 17 ameitoa wap?
 
Back
Top Bottom