Tatizo wewe unamihemuko unazungumzia mgodi mmoja tu wa tanzanite ndio akili zako zilipoishia
Wakati Magufuli anaingia madarakani migodi mingi asilimia kubwa ilikuwa haijafungwa umeme, uache ubishi wa kitoto
Leo hii hata migodi ya wachimbaji wadogo wamepelewa umeme tofauti na kipindi cha nyuma wakipokuwa wanateseka kuendesha migodi yao
Usije kuona tumetulia ukaona hatujui kitu mzee
By the way Babu yangu R.I.P alikuwa anamiliki gari miaka ya 80 na baadae mashine akawa anawasagia Unga nyie walugaluga ,alikuwa na mifugo zaidi ya 200