Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Tatizo wewe unamihemuko unazungumzia mgodi mmoja tu wa tanzanite ndio akili zako zilipoishia
Wakati Magufuli anaingia madarakani migodi mingi asilimia kubwa ilikuwa haijafungwa umeme, uache ubishi wa kitoto

Leo hii hata migodi ya wachimbaji wadogo wamepelewa umeme tofauti na kipindi cha nyuma wakipokuwa wanateseka kuendesha migodi yao
Usije kuona tumetulia ukaona hatujui kitu mzee

By the way Babu yangu R.I.P alikuwa anamiliki gari miaka ya 80 na baadae mashine akawa anawasagia Unga nyie walugaluga ,alikuwa na mifugo zaidi ya 200
Haya pamoja na hayo yote ni chama gani kilichokuwa madarakani hadi kikashindwa kupeleka umeme? na jpm hivi leo anaongoza kupitia chama gani?
 
Hawa ndio wale wale wanaokotoa habari na kuja kuziweka humu bila kujua kuna watu wanajua hizo biashara zaidi yao.

Umemtaja abdillah nkakumbuka hustle zake mwanzoni kabisa kachukua mgodi.
Kabisa mkuu abdilahi alipata mzigo wa thamini kuliko huyu,sema ilikua awamu ya jk hakuna wasifiaji wa kijinga,yeye alipata tanzanite kidogo ila alipata mawe yanaitwa crosslight yako kama greengarnet yana bei mara 7 ya tanzanite
 
Sasa nashauri Serikali kupitia Wizara ya Madini na Kituo cha Uwekezaji wamsaidie huyu Bilionea mpya kuiwekeza hiyo bilioni saba ili izae Zaidi na izalishe ajira kwa wana Mererani na Simanjiro kwa faida ya Tanzania yetu au siyo wana JF?
Serikali ilimsaidia kulisha wale wana apollo sio?
 
heri kuondoka Ili wachimbaji na Wauzaji wasidhuliwe kwa kuuawa Na kuporwa pesa walizokuwa wakiuza gizani na majambazi yaliyokuwa yalikodiwa na wahindi

Heri Tanzanite iuzwe hata robo bei kuliko ya Jun ya wahindi lakini muuzaji awe na uhakika wa kupata pesa zake na uhai wake kuwa salama

Biashara gani mtu alikuwa akienda kuuza anaenda na pistol na kikosi cha kivita kuogopa kudhulumiwa?

Mijambazi ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara sasa hivi iko hoi njaa kali hakuna wa kumkaba biashara ya Tanzanite. Hongera Raisi Magufuli kupambana kisayansi na mijambazi na mitapeli miuza vichupa vikisingizia madini sekta ya madini

Sasa hivi hakuna wa kumtapeli madini mtu akitaka madini anaenda mwenyewe soko la madini
Nani aliuawa na hao wahindi na wapi?majambazi gani yalikodiwa na wahindi kuteka wachimbaji au uliskia stori kwenye kijiwe chenu pale ccm mkoa
 
Hilo jiwe limekatwa na baruti na ndio huwa hivyo mana tunalipua mwamba na baruti,pia hata ukilitoa na nyundo lazima liwe na cracks mana ni jiwe
Ukiliangalia vizuri hili jiwe utaona limekatwa nasio kwa maana ya uhujumu bali ni security ya biashara iliofanyika jamaa katoa mzigo Zaid ya huu kwa ninavyoonaView attachment 1487709
 
Mkuu serikali imetengeneza mazingira rafiki kusupport wachimbaji wadogo wadogo tunapaswa kupongeza kwa juhudi zinazoendelea huenda Ayo madini tusingeyaona ingekua enzi zile za ulanguzi
Wakopeshwe pesa na dhana za uchimbaji hapo ndio tutaisifu serikali,wanaomiliki migodi inayotoa mererani wote ni madon,mgodi unakula pesa mpka watu wanafilisika na kuwa makapuku
 
Mkuu tunapokuja kwenye issue ya soko serikali hii imemtengenezea mchimbaji wa madini mazingira mazuri na yenye uhakika wa kupata kile anachostahili kulipwa tofauti na ujanja ujanja wa hapo awali ambapo hata serikali yetu ilipoteza Kodi nyingi iliyopaswa kukusanywa kwa ajili ya kutuletea maendeleo wananchi wake. Nisingependa kuzungumza process ya uchimbaji sababu ziko wazi kuwa inahusisha risk kubwa na wawekezaji wengi wa taasisi za fedha hawawezi kuwa tayari kumkopesha mchimbaji kulingana na risk izo kwaio kupata madini kwa wachimbaji Hawa wadogo wadogo huwa ni bahati tu Kama ivi Leo tunamzungumzia billionea laizer ambae amebahatika Kati ya wengi waliopo uko melelani.
Acha ujinga.

Mwanzoni soko lilikuwepo na bei ilikuwa nzuri.

Hiyo serikali ya awamu ya tano ndo imefanya wanunuzi wa bei nzuri kukimbia
 
Kwamba laizer shimo halijatoa mawe kwa miaka 17 sio?Hahahah

Huyo dogo ataendelea kuwapiga wajinga wa dizaini yako mpk mkubali mziki.
Mkuu umeandika nini hapa, jamaa alipost kuhusu uyo Mzee week hulo nyuma kabla ajapata jiwe
Kwamba laizer shimo halijatoa mawe kwa miaka 17 sio?Hahahah

Huyo dogo ataendelea kuwapiga wajinga wa dizaini yako mpk mkubali mziki.
Muda mwengine MTU unaweza andika ujinga mpaka ukahisi unajibaka ndio hiki.
 
Hii ni kithibitisho Tosha kwamba ukikomaa na unachokiamini na kufanya bila kukata tamaa hakika utatusua pakubwa sana

Nasikia kwa Miaka 17 hajawai chomoka hata jiwe la milioni moja

Safi sana vijana komaeni na ndoto zenu achaneni ma kelele za JF keyboard warriors

Sent using Jamii Forums mobile app
Motivational speaker njaa mmeanza

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga.

Mwanzoni soko lilikuwepo na bei ilikuwa nzuri.

Hiyo serikali ya awamu ya tano ndo imefanya wanunuzi wa bei nzuri kukimbia
Mkuu iyo bei nzuri unayoizungumzia ilikua kabla ya covid-19 kwa Sasa uchumi umeyumba dunia nzima.tusipinge kila kitu mengine ni mambo mazuri ebu tuwapongeze VIONGOZI wetu ,tuwatie moyo waendelee kutupigania watanzania ili tuyafikie maisha bora.
 
Mkuu iyo bei nzuri unayoizungumzia ilikua kabla ya covid-19 kwa Sasa uchumi umeyumba dunia nzima.tusipinge kila kitu mengine ni mambo mazuri ebu tuwapongeze VIONGOZI wetu ,tuwatie moyo waendelee kutupigania watanzania ili tuyafikie maisha bora.
Bei imeporomoka toka april 2019 kulikua na covid,hahaaa usilolijua heri ukae kimya
 
Kabisa mkuu abdilahi alipata mzigo wa thamini kuliko huyu,sema ilikua awamu ya jk hakuna wasifiaji wa kijinga,yeye alipata tanzanite kidogo ila alipata mawe yanaitwa crosslight yako kama greengarnet yana bei mara 7 ya tanzanite
This comment is completely Nonsense
[emoji848]Wasifiaji wa Kijinga[emoji848]

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
 
Serikali imechukua kodi yake milioni 600 hivi katika bilioni7 Na ushehe...sasa Kwanini na kwenye kodi ushuru wa kuagiza gari nje inakua kukomoana tra pale bandarini ?
Kumbe yawezekana kabisa gari yenye thamani ya milioni 7 nikailipia laki 6 ushuru
Maana nilitegemea huyo mchimbaji angepigwa kodi bilioni 2.33 hivi..
Kuingiza gari toka nje kwa mlala hoi ni dhambi?
 
Back
Top Bottom