FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ila uzeni nje ya nchi tupate fedha za kigeni bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteee. ...... Nanukuu kama ifuatavyo: " Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.... Wewe ukiiga ukalala mlango wazi joka linaingia".... mwisho wa kunukuu. HahahaaaaMtafanya vijana wakimbilie huko kwa wingi.....
kumbe bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi..
mwenzako amelala mlango wazi kondoo wameingia.......
ww ukiiga ukalala mlango wazi joka linaingi....
hongera kwake yeroo...
Yah ni kaka kahudumia mda mfupi na kupata kwahiyo ni pasu kwa pasu,watu wanaongea tu hawajui uchimbaji wa tanzanite ni gharama kubwa sana kuna migodi kwa mwezi inatumia 150m...linakuja jinga kusema ni juhudi za flaniNdio ndio mfadhili si ni kakaa yule mwenye point zone ndo alikua anahudumia pale mpaka hayo mawe yalivyotoka.
Zamani hiyo siku hizi watu Wanafanya investmentJamaa kaula.. Lakini pesa za madini hupotea kama zinavyokuja, awe makini watafaidi wengine
Naona watu humu hawaelewi hii biashara ilivyoMchimbaji wa madini hakopeshwi na taasisi yeyote,mtu anauza mpka mali zake kufadhili mgodi halafu unasema ni juhudi za flani,njoo field tukupe tochi uzame ndio uje hapa kuongea utumbo.
Mgodini wa tanzanite unaenda mpka mita 3000 chini sio kama hiyo ya dhahabu unachamba kama shimo la choo.
Compresor na dinga zinafanya kazi 24hrs hazizimwi mtu analipa umeme mpka 2m kwa wiki unasema juhudi za flani
Wenye plans.. Wengine hakuna kitu. Bwashee wangu alipata pesa nyingi akanunua magari na wanawake. Leo ananiomba vochaZamani hiyo siku hizi watu Wanafanya investment
Ova
Mkuu tunapokuja kwenye issue ya soko serikali hii imemtengenezea mchimbaji wa madini mazingira mazuri na yenye uhakika wa kupata kile anachostahili kulipwa tofauti na ujanja ujanja wa hapo awali ambapo hata serikali yetu ilipoteza Kodi nyingi iliyopaswa kukusanywa kwa ajili ya kutuletea maendeleo wananchi wake. Nisingependa kuzungumza process ya uchimbaji sababu ziko wazi kuwa inahusisha risk kubwa na wawekezaji wengi wa taasisi za fedha hawawezi kuwa tayari kumkopesha mchimbaji kulingana na risk izo kwaio kupata madini kwa wachimbaji Hawa wadogo wadogo huwa ni bahati tu Kama ivi Leo tunamzungumzia billionea laizer ambae amebahatika Kati ya wengi waliopo uko melelani.Mchimbaji wa madini hakopeshwi na taasisi yeyote,mtu anauza mpka mali zake kufadhili mgodi halafu unasema ni juhudi za flani,njoo field tukupe tochi uzame ndio uje hapa kuongea utumbo.
Mgodini wa tanzanite unaenda mpka mita 3000 chini sio kama hiyo ya dhahabu unachamba kama shimo la choo.
Compresor na dinga zinafanya kazi 24hrs hazizimwi mtu analipa umeme mpka 2m kwa wiki unasema juhudi za flani
Watu hawajui wanazani kupata mawe ni zali tu ...mawe ni kazi kupata sana ,kupiga Moto kwa sana na kuamua kufilisika katika kupambana kupata tanzanite.ni kweli Kuna migodi yenye miundo mbinu na ambayo kazi inafanyika vizuri kwa mwezi tajiri anateketeza hadi milion 100 akipiga Moto kutafuta mawe.Yah ni kaka kahudumia mda mfupi na kupata kwahiyo ni pasu kwa pasu,watu wanaongea tu hawajui uchimbaji wa tanzanite ni gharama kubwa sana kuna migodi kwa mwezi inatumia 150m...linakuja jinga kusema ni juhudi za flani
Dah kweli zali la mentali lipo
Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.
Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo thamani yake ni shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.
“Na utofauti wake ni kwamba mawe ya uzito huo hayajawahi kupatikana kwenye machimbo ya Tanzanite tangu machimbo yaanze na yamepatikana ndani ya ukuta wa Mirereni kwahiyo hii ni rekodi mpya ya kupata mawe yenye uzito huo,” amesema Prof. Msanjila.
Profesa Msanjila amesema kuwa sekta ya madini inauwezo wa kumfanya mtu kuwa bilionea kwa haraka, ameongeza kuwa kunahitaji kuwa uwekezaji wa dhati katika sekta hiyo.
Serikali imenunua mawe hayo kutoka kwa mchimbaji huyo na yatawekwa katika makumbusho ya taifa
Mkuu tunapokuja kwenye issue ya soko serikali hii imemtengenezea mchimbaji wa madini mazingira mazuri na yenye uhakika wa kupata kile anachostahili kulipwa tofauti na ujanja ujanja wa hapo awali ambapo hata serikali yetu ilipoteza Kodi nyingi iliyopaswa kukusanywa kwa ajili ya kutuletea maendeleo wananchi wake. Nisingependa kuzungumza process ya uchimbaji sababu ziko wazi kuwa inahusisha risk kubwa na wawekezaji wengi wa taasisi za fedha hawawezi kuwa tayari kumkopesha mchimbaji kulingana na risk izo kwaio kupata madini kwa wachimbaji Hawa wadogo wadogo huwa ni bahati tu Kama ivi Leo tunamzungumzia billionea laizer ambae amebahatika Kati ya wengi waliopo uko melelani.
wanajuta...Wapi madem waliomkataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaa pembeni waache wenye field yao wajadiliHili liko wazi mfano migodi mingi sasa hivi serkali imepeleka umeme wa tanesco bei nafuu tofauti na zamani ambapo iliwabidi wachimbaji kununua dizeli na mashine kwa ajili ya kuendesha mgodi
Sema watu wanaingiza chuki zao hili halipingiki Magufuli amefanya kazi kubwa kwenye sekta ya madini
Achana na wasifia ujinga,juhudi kafanya mwenyewe mgodi kukata shaft mpka alipotoa mawe ya kwanza ilitumia zaidi ya billioni kwa ufadhili wa mchina ambae ndio aliweka mtaji huo,laizer yeye alitoa eneo tu leo linakuja kenge kusema ni juhudi za flani,daaaah wangejua hasira za wamiliki wa migodi dhidi ya serikali wangenyamaza tuli.Naona watu humu hawaelewi hii biashara ilivyo
Na inavyofanyika
Ova
Unajua umeme uliwekwa kipindi gni hukoHili liko wazi mfano migodi mingi sasa hivi serkali imepeleka umeme wa tanesco bei nafuu tofauti na zamani ambapo iliwabidi wachimbaji kununua dizeli na mashine kwa ajili ya kuendesha mgodi
Sema watu wanaingiza chuki zao hili halipingiki Magufuli amefanya kazi kubwa kwenye sekta ya madini
Si ndy hpo Hawa wavaa Tai waka ofisini shida sanaAchana na wasifia ujinga,juhudi kafanya mwenyewe mgodi kukata shaft mpka alipotoa mawe ya kwanza ilitumia zaidi ya billioni kwa ufadhili wa mchina ambae ndio aliweka mtaji huo,laizer yeye alitoa eneo tu leo linakuja kenge kusema ni juhudi za flani,daaaah wangejua hasira za wamiliki wa migodi dhidi ya serikali wangenyamaza tuli.
Mtu hakopesheki unasema ni juhudi za flani
Serikali imfundishe tena! wakati wa kutafuta hawakuwepo!Sasa nashauri Serikali kupitia Wizara ya Madini na Kituo cha Uwekezaji wamsaidie huyu Bilionea mpya kuiwekeza hiyo bilioni saba ili izae Zaidi na izalishe ajira kwa wana Mererani na Simanjiro kwa faida ya Tanzania yetu au siyo wana JF?
Soko ni bei gani kwa gram sasa hivi,na soko la zamani enzi ya jk lilikua bei gani,?Mkuu tunapokuja kwenye issue ya soko serikali hii imemtengenezea mchimbaji wa madini mazingira mazuri na yenye uhakika wa kupata kile anachostahili kulipwa tofauti na ujanja ujanja wa hapo awali ambapo hata serikali yetu ilipoteza Kodi nyingi iliyopaswa kukusanywa kwa ajili ya kutuletea maendeleo wananchi wake. Nisingependa kuzungumza process ya uchimbaji sababu ziko wazi kuwa inahusisha risk kubwa na wawekezaji wengi wa taasisi za fedha hawawezi kuwa tayari kumkopesha mchimbaji kulingana na risk izo kwaio kupata madini kwa wachimbaji Hawa wadogo wadogo huwa ni bahati tu Kama ivi Leo tunamzungumzia billionea laizer ambae amebahatika Kati ya wengi waliopo uko melelani.