Mgalula MzTz
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 462
- 421
Sidhani kama angekuwa na umaskini wa akili angefika hapo alipofika.Kitakachomtafuna huyo bilionea ni umasikini wa akili!
Wewe ndiye Tajiri Tanzanite pekee ulie masikini!Ni kishauri kitukimoja,kama haumjui mtu..funga doma achakuropoka..huyo ni tajiri muda mrefu sana..hapa mererani anashimo analohudumia zaidi ya miaka 10,na anawahudumia wafanyakazi 400,usilete akili zako za madaftari then unakuja kujaji watu wengine
🤣🤣🤣🤣Saizi Wana kula kwa machoWapi madem waliomkataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Serikali wamenunua? Bila shaka huyo jamaa kapewa milioni 10 tu, hizi bilioni 7.79 watu wamekula
Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.
Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo thamani yake ni shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.
“Na utofauti wake ni kwamba mawe ya uzito huo hayajawahi kupatikana kwenye machimbo ya Tanzanite tangu machimbo yaanze na yamepatikana ndani ya ukuta wa Mirereni kwahiyo hii ni rekodi mpya ya kupata mawe yenye uzito huo,” amesema Prof. Msanjila.
Profesa Msanjila amesema kuwa sekta ya madini inauwezo wa kumfanya mtu kuwa bilionea kwa haraka, ameongeza kuwa kunahitaji kuwa uwekezaji wa dhati katika sekta hiyo.
Serikali imenunua mawe hayo kutoka kwa mchimbaji huyo na yatawekwa katika makumbusho ya taifa
Isije tu kuwa janja mpya ya kuchota pesa kwa ajili ya kampeni maana hii nchi hii hapana.

Jamaa ni billionaire kitambo sana, maskin kajamba nani tu huwezi pata hiyo kituHii ni kithibitisho Tosha kwamba ukikomaa na unachokiamini na kufanya bila kukata tamaa hakika utatusua pakubwa sana
Nasikia kwa Miaka 17 hajawai chomoka hata jiwe la milioni moja
Safi sana vijana komaeni na ndoto zenu achaneni ma kelele za JF keyboard warriors
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16]huyo don kitambo sio falaSerikali wamenunua? Bila shaka huyo jamaa kapewa milioni 10 tu, hizi bilioni 7.79 watu wamekula
Labda yeye awashauri serikali mbona hiyo pesa kaizoea zaidi ya miaka kumi,asset zake zinazidi hiyo pesaSasa nashauri Serikali kupitia Wizara ya Madini na Kituo cha Uwekezaji wamsaidie huyu Bilionea mpya kuiwekeza hiyo bilioni saba ili izae Zaidi na izalishe ajira kwa wana Mererani na Simanjiro kwa faida ya Tanzania yetu au siyo wana JF?
Kwahiyo hayo maghorofa wa wenye migodi yaliyotapakaa arusha,yalijengwa na jpmHizi juhudi za serikali ya awamu ya tano kuboresha mazingira kwa wachimbaji wadogo wadogo zinaonesha mafanikio Sasa sector ya madini inakua kwa Kasi na kuongeza Pato la taifa Viva Magufulu 2020-2025
Mkuu serikali imetengeneza mazingira rafiki kusupport wachimbaji wadogo wadogo tunapaswa kupongeza kwa juhudi zinazoendelea huenda Ayo madini tusingeyaona ingekua enzi zile za ulanguziKwahiyo hayo maghorofa wa wenye migodi yaliyotapakaa arusha,yalijengwa na jpm
Bahati mbaya sana bahati za namna hiyo haziwafuati matajiri wa akili!Kitakachomtafuna huyo bilionea ni umasikini wa akili!
Mchimbaji wa madini hakopeshwi na taasisi yeyote,mtu anauza mpka mali zake kufadhili mgodi halafu unasema ni juhudi za flani,njoo field tukupe tochi uzame ndio uje hapa kuongea utumbo.Mkuu serikali imetengeneza mazingira rafiki kusupport wachimbaji wadogo wadogo tunapaswa kupongeza kwa juhudi zinazoendelea huenda Ayo madini tusingeyaona ingekua enzi zile za ulanguzi
Waeleze bana mtu anakurupuka tu anasema ni juhudi za serikali wakati watu wengi wamefilisika kwa kuhudumia migodi bila kutoa mawe.Mchimbaji wa madini hakopeshwi na taasisi yeyote,mtu anauza mpka mali zake kufadhili mgodi halafu unasema ni juhudi za flani,njoo field tukupe tochi uzame ndio uje hapa kuongea utumbo.
Mgodini wa tanzanite unaenda mpka mita 3000 chini sio kama hiyo ya dhahabu unachamba kama shimo la choo.
Compresor na dinga zinafanya kazi 24hrs hazizimwi mtu analipa umeme mpka 2m kwa wiki unasema juhudi za flani
Achana na hao wasifia ujinga,huo mgodini umetumia mabilioni kuchimba na kuweka miundombinu ya kisasa,pia umeshatoa sana madini ya mabilioni.Waeleze bana mtu anakurupuka tu anasema ni juhudi za serikali wakati watu wengi wamefilisika kwa kuhudumia migodi bila kutoa mawe.
Ndio ndio mfadhili si ni kakaa yule mwenye point zone ndo alikua anahudumia pale mpaka hayo mawe yalivyotoka.Achana na hao wasifia ujinga,huo mgodini umetumia mabilioni kuchimba na kuweka miundombinu ya kisasa,pia umeshatoa sana madini ya mabilioni.
Laizer anamali zaidi ya hiyo pesa istoshe kuna mfadhili aliehudumia mpka kutoa mawe yupi ambae anachukua 50% ya mawe yote.
Kuna mawe madogo mengi ambayo yanazidi thamani hayo makubwa ambayo serikali haijayanunua