Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Mkuu tunapokuja kwenye issue ya soko serikali hii imemtengenezea mchimbaji wa madini mazingira mazuri na yenye uhakika wa kupata kile anachostahili kulipwa tofauti na ujanja ujanja wa hapo awali ambapo hata serikali yetu ilipoteza Kodi nyingi iliyopaswa kukusanywa kwa ajili ya kutuletea maendeleo wananchi wake. Nisingependa kuzungumza process ya uchimbaji sababu ziko wazi kuwa inahusisha risk kubwa na wawekezaji wengi wa taasisi za fedha hawawezi kuwa tayari kumkopesha mchimbaji kulingana na risk izo kwaio kupata madini kwa wachimbaji Hawa wadogo wadogo huwa ni bahati tu Kama ivi Leo tunamzungumzia billionea laizer ambae amebahatika Kati ya wengi waliopo uko melelani.

Huna hujualo kama kimya tu kuficha aibu yako
 
Mkuu umeandika nini hapa, jamaa alipost kuhusu uyo Mzee week hulo nyuma kabla ajapata jiwe

Muda mwengine MTU unaweza andika ujinga mpaka ukahisi unajibaka ndio hiki.
Kwanza ni uongo kwamba laizer kwa miaka 17 iliyopita shimo lake halijatema mawe.

Pili unasema huyo jamaa kaandika wiki iliyopita wkt Mererani habari ya jamaa kutoa hayo mawe iko muda mrefu tu.

So kwa hizo points 2 hapo juu ni rasmi sasa nakushauri ukajibake sasa.
 
We hujui umeandika nin hapa huyo dogo Jeff atawadanganya sana,huo mgodi toka umeanza kazi hata miaka 15 haijafika ss hebu muulize hio miaka 17 ameitoa wap?
No vyema ukasema alianxa lini na munafahamiana vipi weqe na uyo Laizer na kwanini usingeandika kuhusu yeye before mpaka Tz imemjua ndio unakosoakosoa watu Uzi mzima.
 
Kwanza ni uongo kwamba laizer kwa miaka 17 iliyopita shimo lake halijatema mawe.

Pili unasema huyo jamaa kaandika wiki iliyopita wkt Mererani habari ya jamaa kutoa hayo mawe iko muda mrefu tu.

So kwa hizo points 2 hapo juu ni rasmi sasa nakushauri ukajibake sasa.
Wewe ni mzee wa ku-discuss matukio baada ya kutokea.

Hilo suala la habari kuenea kabla wote tunalijua na wewe umelijua baada ya kutangazwa kwamba habari ilifahamika before usijipe kiki.

Eleza ulimjuaje jamaa kabla ya tukio mbali na hapo wewe ni wa muongelea matukio na trends tu kama wale wa Insta nk.
 
Muda wa kukujibu huo upuuzi bora nikapige puli tu.
 
Watu wanamshobokea pesa zake za kawaida na atafirisika tu
why? 9 billions!...9,000,000,000
9,000,000,000/100,000 a day= 90,000 siku hizo kama akitumia laki kila siku.
Sas siku 90,000 ni mika mingapi? gawa kwa 365= 246 yrs! atakuwa ameshakufa zamani sana kama sijakosea hesabu zangu.

Hivyo kufilisika hapana!
 
Yule dingi wa kimaasai anaonekana ana mawe..alikuwa anajenga shopping mall kabla hata ya kutusua haya mawe
Hivi ni dingi au kijana yule?,,
Tatizo vijana wa miaka 20 kuwaona wenzao wa 35 wazee,,sijui husababishwa na nini
 
why? 9 billions!...9,000,000,000
9,000,000,000/100,000 a day= 90,000 siku hizo kama akitumia laki kila siku.
Sas siku 90,000 ni mika mingapi? gawa kwa 365= 246 yrs! atakuwa ameshakufa zamani sana kama sijakosea hesabu zangu.

Hivyo kufilisika hapana!
Ongeza kidogo atumie 200,000 kwa siku,,sawa na miaka zaidi ya 100,
Yaani hapo hafanyi kazi ni kutumbua tu
 
Hawezi filisika sababu huyu mtu tayari amepevuka" Ni mtu mzima hivyo hawezi kufanya mambo yasiyo ya msingi na hayo MABILION, Ukiisikia speech yake tu mara moja unagundua ni mtu ambae ana maisha yake mazuri tu!
 
Yule dingi wa kimaasai anaonekana ana mawe..alikuwa anajenga shopping mall kabla hata ya kutusua haya mawe
Mkuu, upo sawa kabsa! jana nlsema hapa jf kuwa hako kahela alopata laizer wala hakamstui, huyu jamaa ni meli atar anayohela mingi aseee, kama ni hizo B amekuwa nazo toka miaka hyo ya akina Msuya...... kwa mazmba wa pale Mererani ukimtoa Abillah yeye ndo anafuata, boma yake iko leisinyai way to kambi ya chokaa, kuna kpnd alipga hela kanunua LX 11 mpaka mpsh wake mgodn anatumia moja kwa aajili ya kufuatia viungo na vitu vidogo vidogo, make unga na mchele huwa vnapelekwa na canter.
 
Back
Top Bottom