Unamaanisha yule jirani aliekuwa anaongoza kuuza madini ya tanzanite duniani?Uyu jamaa sio mchimbaji mdogo ana watalaam kutoka china ana fanya nao kazi mda Sana haya mawe washauza Sana apo kwa jirani sema kwa sasa mambo yamekuwa tyt!
Mambo ya uhujum uchumi yame watisha!
Kumuita mchimbaji mdogo ni siasa tu!
Mkumbushe pia hofu ndio ilitaka itumalize na covid 19. Kama ana hofu akaungane na mataifa jirani.endelea kupata hofu huku wengine wakiwa mabilionea
Yanachimbwa ndio, unadhani wanaokota baharini kama lulu??Sio kwamba wananchimba alafu wanamwita ili serikali iobyeshe inajari wachimbaji wadogo kumbe janja tu
Yap pia lazima wawepo majasiri na wenye hofu kama wewe.Na ili kuwe na Mabilionea inabidi pia kuwa na Mafukara kama Sisi ili Mzani wa Kiuchumi na Dhana yake nzima Ukamilike na ndivyo ilivyo Kitaaluma.
😂😂😂😂 Ndio mkuu jirani muuni muuza miraa au mirungi!!Unamaanisha yule jirani aliekuwa anaongoza kuuza madini ya tanzanite duniani?
Hilo alipata pamoja na yale mengine. Sema hili walificha naona walitaka kulitorosha sema serikali ina masikio marefu.
Ni kama Geita Gold Mining, kampuni ya Tanzanite One, Barrick n.kKwa mawe anayoyaibua bado anaitwa mchimbaji mdogo. Sasa mchimbaji mkubwa ni yupi huyo?
Leo umeongea kwaakili naamini usemi wa saa mbovu huwa inapatia majira sometimes.Sipingani na Laizer ' Kuyaibua ' hivi haya Mawe ya Thamani, ila kwa Sisi ' Critical Thinkers ' tayari tumeshaanza kupatwa na Hofu juu ya Kitu fulani.
Inategemea na level ya uwekezaji.. anatumia vifaa gani na ukubwa wa eneo lake. Madini unaweza ukashangaa umechimba hata kwenye ukubwa wa chumba cha kulala ukapata jiwe.johnthebaptist hivi kweli mtu anayemiliki mpaka"Mall" eneo sakina "Opposite" Seven Up bado ni mchimbaji mdogo?
Tanzanite 1 yeye anapiga hadi kilo 50
Wanasemaga kuna mkanda..ukiupata huo we ni billionea mwanzo mwisho.. ndio mabilionea kina msuya waliuana sababu hiyo..huyo laizer ashukuru ulinzi umeimarishwa.Wala usipatwe na hofu hakuna figisu zozote hapo,uzuri wa tanzanite ukidumbukia kwenye mtaro basi ni ya kuchota tuu,kampuni ya tanzanite one ilikuwa inatoa madini zaidi ya hayo mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28] hatari Sana!Leo umeongea kwaakili naamini usemi wa saa mbovu huwa inapatia majira sometimes.
Kwahiyo Leo wewe ni mchumi Kitaaluma? Maana jamiiforums unajitambulisha kwamba wewe ni usalama wa taifa (kachero) japo wapo ut wachumi 🤣🤣🤣🤣Na ili kuwe na Mabilionea inabidi pia kuwa na Mafukara kama Sisi ili Mzani wa Kiuchumi na Dhana yake nzima Ukamilike na ndivyo ilivyo Kitaaluma.
hayo mawe wanayapata tangu zamani, zaidi ya kilo hizo wanazotangaza, ila walikua wanayavunja vunja, wanagawana kila mtu apate,, na tanzanite one ndo alikua anayatoa mengi tu, ila huwa anayavunjavunja vipande vipande, kwa sababu za kibiashar, ni stori ndefu nikielezea sababu za biashara kivipi.
Ni kwasababu haufahamu ni kiasi gani kampuni kama ile aliyoileta Mkapa ya Tanzanite1, wanayaibua kiasi gani hadi usawa huu! Hayo ya Laizer ni cha mtoto!Kwa mawe anayoyaibua bado anaitwa mchimbaji mdogo. Sasa mchimbaji mkubwa ni yupi huyo?
Kwani wewe ulitaka liuzweje ili isiwe kiki mkuu?Anakabidhi hilo jiwe kwani ni ofisi ya serikali? Sema anawauzia serikali lakini kwa kiki.