GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Funguka kidogo mimi nitamalizia
Nikijua walipo akina Ben Saanane na Azory Gwanda ' nitafunguka ' tu Mkuu ila kwa sasa hata Wewe unaweza ukamalizia na useme ukazikwe wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funguka kidogo mimi nitamalizia
- Unajua kwamba gemstones ukizivunja thamani yake inapungua?
- Unajua kwamba gemstone ikiwa na mipasuko bei inapungua.?
- unajua kwamba jiwe la kilo 5 lina thamani zaidi ya mara mbili ya mawe madogo madogo yenye jumla ya kilo 5?
- Ni sababu zipi hizo za kibiashara zinazosababisha mawe yavunjwe? Au unataka kupotosha watu humu.
???????Nikijua walipo akina Ben Saanane na Azory Gwanda ' nitafunguka ' tu Mkuu ila kwa sasa hata Wewe unaweza ukamalizia na useme ukazikwe wapi.
Dah kwahiyo tukifanya biashara kwenye TV itakuwa ni kiki?
Usalama wa kuuzia serikali ni mkubwa zaidi kuliko huko nje lakini pia hii ndio maana halisi ya uzalendo au mkuu ulikuwa unafurahia Kenya kuwa nchi inayo ongoza kwa kuuza madini ya Tanzanite wakati hawana hiyo Tanzanite?
Ni sawa kabisa mkuu, lakini nikukumbushe kuwa demand ya Tanzanite sio rahisi kushuka namna hiyo kwasababu demand yake kwenye soko ni kubwa duniani kote, alafu upatikaniji wake hauna uwanda mpana kwasababu wazilishaji wa Tanzanite ni wachache. Kama Tanzanite ingekuwa inapatikana maeneo mengi tofauti tofauti duniani Kama ilivyo gold basi kweli ingekuwa rahisi sana kushuka.sijui uhitaji wa soko ukoje, lakini kwa kila mwezi wanapotangaza kwamba wamepata kilo fulani, dunia ina take note... kumbuka hakuna sehemu yeyote duniani humu mzigo wa kilo 9 na kuendelea wa Tanzanite umewahi kupatikana... thamani yake imekuwa juu kutokana na ugumu wa upatikanaji wake... sasa hawa mabeberu wakisha jua tu inapatikana kirahisi, maana yake ni kuipunguzia bei- more production - less demand - less price... yafaa sawa serikali iweke muongozo wa production na uuzwaji... kumbuka mafuta namna yanavyopanda na kushuka bei- ni principle hiyo hiyo inatumika kupanga bei ya malighafi duniani.. supply , demand and price... na ni principle hii hii inayo determine dola moja kuwa sh 2000 au zaidi au poundi kuwa zaidi ya Tsh 2500...
Deflation ya bei itategemea na sisi tunavyowatangazia huko ulimwenguni kwamba tunayo bwelele na ya kotosha... na hili kwa sasa linafanyika na akina laizer; duniani huko wakijua tu, basi bei lazima itashuka tu ...
Mkuu sipingani na wewe, lakini ukisoma hapa utagungua mipango ya mabeberu ni kuipunguza bei..Ni sawa kabisa mkuu, lakini nikukumbushe kuwa demand ya Tanzanite sio rahisi kushuka namna hiyo kwasababu demand yake kwenye soko ni kubwa duniani kote, alafu upatikaniji wake hauna uwanda mpana kwasababu wazilishaji wa Tanzanite ni wachache. Kama Tanzanite ingekuwa inapatikana maeneo mengi tofauti tofauti duniani Kama ilivyo gold basi kweli ingekuwa rahisi sana kushuka.
lakini pia ishu ya ushindani wa kibiashara kutoka foreign companies ni kubwa hii inatupa nafasi ya sisi kuuza Tanzanite yetu kwa bei nzuri sababu tutakuwa Monopoly wa hayo madini.
Halafu siamini Kama Tanzanite ipo nyingi kiasi hicho hadi kufikia kuwepo na over production sidhani kwa kweli mkuu.
Na Kama serikali imeamua kuwekeza kwenye hii biashara basi sidhani kama watayauza ovyo kwa matakwa ya hao mabeberu hadi kufikia kushuka bei kiasi hicho.
unayapitishaje hadi kwenda kuuza nje.
na jambo lingine naomba kuuliza expert haswa richard77 kua je mimi na operate kihalali na nimechimba kihalali nimepata madini ya tanzanite na ninaenda kuuza nje sababu ndipo penye soko zuri, hilo ni KOSA KISHERIA?
Sio kila aliyewahi fika mgodini anayajua madini, ts obvious kwamba hujui chochote kuhusu gemstones.huwezi kunielewa, mimi nipo huku kwenye mgodi wa chusa, naelewa nini kinaendelea,, wewe una ujuzi gani bro?
endelea kupata hofu huku wengine wakiwa mabilionea
Kuna watu hiki kitu hawataki mkuu, Kiukweli Tanzania ilikuwa hainufaiki chochote na haya madini yote yalikuwa yanatoreshewa Kenya, we watu hawana hata mgodi mmoja wa Tanzanite alafu eti ndio wanaongoza kwa uuzaji inauma sana hii ndio maana Wana chuki kubwa mpaka kuzuia watanzania wasiende kwao kwasababu ya kuwakatia mirija ya ulaji wao. Acha sasa Tanzanite yetu ibaki hapa hapa.utaendaje kuuza nje na kodi serikali itapataje? na wakati umechimba hapa,, ndo mana kumewekwa ukuta, kinachotoka chini kinauzwa palepale kwa mtu yeyote mwenye uwezo, serikali inapata kodi, kisha wewe ndo unaweza kulipeleka nje ukauze utakavyo,, ila sheria likitoka tu pale shimoni linauziwa hapohapo.
Sio kila aliyewahi fika mgodini anayajua madini, ts obvious kwamba hujui chochote kuhusu gemstones.
Madini ni taaluma na sio kitu cha kujiongelea unavyojua wewe.
Mkuu umezipenda nyeti zake eeh?Wewe Binti hizi nyeti unapata wapi? unanifurahisha.
Hujaelewa, Kuna mtu humu jf siyo wewe.mimi na wewe nani poyoyo, unatumia tecno RA7 na unaongea pumba , siwezi bishana na wewe.
...😂😂😂...serikali inakaba mpaka penati.Hilo alipata pamoja na yale mengine. Sema hili walificha naona walitaka kulitorosha sema serikali ina masikio marefu.
Wanasalitiana,kuna mmoja wao alipeleka habari Serikalini.Hakuna siri ya watu wawili....😂😂😂...serikali inakaba mpaka penati.