Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

Huyo ni mchimbaji wa kati
ni mchimbaji mdogo kwa maana ya leseni yake Primary Mining Licence(PML)
Wachimbaji wote wenye leseni hiyo wanatambulika kama wachimbaji wadogo tofauti na makampuni mengi makubwa yanatambulika kwa leseni zao kama Mining Licence(ML)
Kuna vigezo lazima utimize kulingana na kila aina ya leseni unayotaka ndipo upatiwe kulingana na maombi na vigezo
 
Hilo alipata pamoja na yale mengine. Sema hili walificha naona walitaka kulitorosha sema serikali ina masikio marefu.
Wakina na nani walitaka kulitorosha kauli yako haiingi akilini
 
Niwekee hapa ' Ushahidi ' wako wote ulionao au kutoka kwa Watu wengine kwamba Mimi GENTAMYCINE nimeshawahi ' Kujitanabaisha ' hapa Jamii Forums au hata kokote kule ni Mwana Usalama wa Taifa. Kama unao uweke hapa ili leo ' Niumbuke ' na ikiwezekana hata hao ' Watendaji ' wenyewe husika wa hiyo Taasisi ambao wapo wengi hapa na baadhi yao wananijua hadi ninapolala waje wanikamate na wakanishitaki kwa Kosa la ' Impersonation ' ili Mimi nitumike kama Mfano kwa wengine. Katika Maelezo yako mengi tu juu yangu kila mara huwa ' Unanidhihaki ' kuwa ni ' Mwendawazimu ' sasa hivi Idara yenye Heshima Kubwa na Ufanisi kama TISS inaweza ' Kuajiri ' Mtu kama Mimi. TISS ama kuwa nami au hata Kuniajiri itakuwa ni ' Tiketi ' ya Wao ' Kujidhalilisha ' na Kujishusha ' Thamani ' yao kwani sina hata 1% ya kuwa Miongoni mwao. Namalizia kwa Kusisitiza zaidi Kwako kuwa umesema Mimi huwa najitambulisha na nimewashawahi Kujitamulisha hapa kuwa ni Mtu wa Idara ( TISS ) hivyo nakuomba uweke hapa kila Kitu hadharani ili Vijana wa DG Afande Diwani Athuman Msuya waje ' wanidake ' hapa nilipo ambapo nakuthibitishia kuwa wanajua nilipo hadi ninapolala hivyo ' Kunikamata ' Mimi ni Kitu cha Sekunde tu kisha ' waniadabishe ' sawa? Pumbavu!
Hovyo kabisa, kwa hiyo unataka kumthibitishia jamaa kwamba wewe unafahamika kwa Diwani sivyo? Pumbavu sana we kijana.
 
Wajameni, huyu ni mchimbaji hasa aua anamilili mgodi mdogo na anaajiri wafanyakazi wamchimbie? Anayejua naomba maelezo
 
Inaweza ikawa anayo mengi ndani hii ni baada ya milango ya kupeleka nje kufungwa sasa amekosa chansi ya kusafirisha nje na soko kufunguliwa hapa nchini kaamua kuanza kuyatoa ,serikali fuatilieni huyu mtu.
Haya ni mawazo yangu tuu niko tayari kukosolewa.
 
Niliwaza hivi pia. Isipokua sikuwaza kua kushindwa kuyatoa nje ndiyo sababu ya kuuza kwa serikali.

Ila sidhani kama ni kosa kisheria.
 
Inaweza ikawa anayo mengi ndani hii ni baada ya milango ya kupeleka nje kufungwa sasa amekosa chansi ya kusafirisha nje na soko kufunguliwa hapa nchini kaamua kuanza kuyatoa ,serikali fuatilieni huyu mtu.
Haya ni mawazo yangu tuu niko tayari kukosolewa.
Kwani hata akiwa nayo ni lazima ayauze? Haya mawazo ya kimaskini yataisha lini?
 
Ingia Fronti laini ...Fronti fedi mkuu Kama praiveti investigeta
Utuletee udambwidambwi wote Kama kaficha au lah ....

Anyway nipasie ...dude hilo nichukue resi kadhaa mwanangu
 
Inaweza ikawa anayo mengi ndani hii ni baada ya milango ya kupeleka nje kufungwa sasa amekosa chansi ya kusafirisha nje na soko kufunguliwa hapa nchini kaamua kuanza kuyatoa ,serikali fuatilieni huyu mtu.
Haya ni mawazo yangu tuu niko tayari kukosolewa.
Hakuna ubaya hata mimi nimelima mahindi nina gunia 135 nasubiri njaa ije yapande bei niuze!!!
 
Uwezekano wahili kuwa kweli ni mkubwa! Ni vigum kupata madini makubwa kama hayo katika mda mfupi huchukua mda sana kupata madini haya kuna watu wanamwaka 4 sasa hawajafanikiwa, uwezekano wa kwamba yapo nikwamba kashindwa yatoa nje pia ni mkubwa kutokana na jinsi serikali imelikalia hili.
Inaweza ikawa anayo mengi ndani hii ni baada ya milango ya kupeleka nje kufungwa sasa amekosa chansi ya kusafirisha nje na soko kufunguliwa hapa nchini kaamua kuanza kuyatoa ,serikali fuatilieni huyu mtu.
Haya ni mawazo yangu tuu niko tayari kukosolewa.
 
Inaweza ikawa anayo mengi ndani hii ni baada ya milango ya kupeleka nje kufungwa sasa amekosa chansi ya kusafirisha nje na soko kufunguliwa hapa nchini kaamua kuanza kuyatoa ,serikali fuatilieni huyu mtu.
Haya ni mawazo yangu tuu niko tayari kukosolewa.
Na wewe kachimbe ufiche mkuu, Yale Ni ya kwake anaamua mwenyewe
 
Back
Top Bottom