Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

Niliwaza hivi pia. Isipokua sikuwaza kua kushindwa kuyatoa nje ndiyo sababu ya kuuza kwa serikali.

Ila sidhani kama ni kosa kisheria.
Sio kosa ila anaweza kuwa alikuwa nayo ndani sasa anaanza kutoa labda kashindwa kusafirisha
 
Akiamua kubaki nayo baada ya miaka mitano ni kosa kisheria??
 
watanzania ni lini tutaacha kuombeana mabaya..!! hujisikii furaha kuwa kayapata yeye acha afurahie yeye na familia yake. Unataka selikali inyanganye ifaidike ndo furaha yako..? unajua ni nguvu kiasi gani kawekeza kwenye uchimbaji.? acha afurahie jasho lake
 
Uwezekano wahili kuwa kweli ni mkubwa! Ni vigum kupata madini makubwa kama hayo katika mda mfupi huchukua mda sana kupata madini haya kuna watu wanamwaka 4 sasa hawajafanikiwa, uwezekano wa kwamba yapo nikwamba kashindwa yatoa nje pia ni mkubwa kutokana na jinsi serikali imelikalia hili.
Miamba ya madini yawezekana inasomeka vizuri .
 
Inaweza ikawa anayo mengi ndani hii ni baada ya milango ya kupeleka nje kufungwa sasa amekosa chansi ya kusafirisha nje na soko kufunguliwa hapa nchini kaamua kuanza kuyatoa ,serikali fuatilieni huyu mtu.
Haya ni mawazo yangu tuu niko tayari kukosolewa.
Hata kama anayo mengi si yake......
na kodi ya serekali si analipa.....
ama ni dhambi kuwa na madini mengi...!!!?
Mungu amembariki ww kubali tu....
usishindane nae
 
Hata kama anayo mengi si yake......
na kodi ya serekali si analipa.....
ama ni dhambi kuwa na madini mengi...!!!?
Mungu amembariki ww kubali tu....
usishindane nae
Sijashindana nimetoa mawazo yangu tuu huenda kuke mwanzo ni miongoni mwa waliokuwa wanakwepa kodi hapa nchini wanakimbiza kuuza nje sasa soko na njia zimefungwa ndio anajitokeza saa hizi maana hana namna
 
Sio kosa ila anaweza kuwa alikuwa nayo ndani sasa anaanza kutoa labda kashindwa kusafirisha
Ni maamuzi yake ayauze au akae nayo ndani, sasa serikali imfatilie ya nini.
 
Kwani hata akiwa nayo ni lazima ayauze? Haya mawazo ya kimaskini yataisha lini?
Asipouza atayapeleka wapi hivi unajua akiwa nayo asipouza au kuhifadhi sehemu ya usalama zaidi ni hatari kwa usalama wake
 
Inaweza ikawa anayo mengi ndani hii ni baada ya milango ya kupeleka nje kufungwa sasa amekosa chansi ya kusafirisha nje na soko kufunguliwa hapa nchini kaamua kuanza kuyatoa ,serikali fuatilieni huyu mtu.
Haya ni mawazo yangu tuu niko tayari kukosolewa.
Hili wazo nshakuwa nalo kitambo sana huyu ameyaficha sehemu ndio maana hata halalamiki bei anayopewa na serikali
 
Kwanini usifiche kitu cha thamani kama madini? Ni mali yake.
 
Uwezekano wahili kuwa kweli ni mkubwa! Ni vigum kupata madini makubwa kama hayo katika mda mfupi huchukua mda sana kupata madini haya kuna watu wanamwaka 4 sasa hawajafanikiwa, uwezekano wa kwamba yapo nikwamba kashindwa yatoa nje pia ni mkubwa kutokana na jinsi serikali imelikalia hili.
Tatizo watu hawalioni hili.
 
Asipouza atayapeleka wapi hivi unajua akiwa nayo asipouza au kuhifadhi sehemu ya usalama zaidi ni hatari kwa usalama wake
Mnapotoa mazao shambani huwa mnayapeleka sokoni moja kwa moja? Yale maghala ya kuifadhia mazao huwa ni ya nini? Ushawahi kufanya hata biashara ya nyanya? Market forces unaulewa nao?

Wewe ndio unajua usalama wake ila mwenye mali hajui sio?
Acheni kupangia watu waishi mtakavyo
 
Hata kama anayo mengi si yake......
na kodi ya serekali si analipa.....
ama ni dhambi kuwa na madini mengi...!!!?
Mungu amembariki ww kubali tu....
usishindane nae
Kuna jamaa mmoja mahenge alikaa ndani miaka miwili kwa kuhifadhi mchanga wa kutengenezea marumaru alipewa kesi ya uhujumu uchumi. na huo mchanga ulikuwa wake alichimba kihalali. Hii kesi alimuhusisha na Afsa madili wa mkoa wa morogoro ambaye walikaa wote lupango.
 
Back
Top Bottom