Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

Wana apolo sasa hv wanamlia timing tu ili siku ikifika wamzamie kwake, bila shaka yapo mengi.
 
Ujue yeye sio mchimbaji. Haingii ndani ya shimo mara kwa mara ila ana wasimamizi. Hilo jiwe haliwezi kuwa SIRI. Pale shimo likitoa mali watu wote walioko chini wanajua. Wasipojua watalipwaje? PIA MIGODI YOTE WANAPATA HABAR HASA JIWE KUBWA. Naskia likitema wachimbaji wanatolewa pembeni ili mwenyewe aje achukue yale makubwa na vile vodogovidogo anawaachia wale wachimbaji wanaitwa nyoka wakinyakuana.
 
Ahaa
 
unachekesha kweli..katika makabidhiano jana uliona igp sirro, pamoja na mkuu wa majeshi, hio inakupa picha gani, huyu ni mzawa na mzalendo wa kweli na analindwa na serikali, nyie endeleeni kupiga soga huku wengine wakiendelea kuongezea ubilionea
Siasa ile mkuu wakuu wa vyombo vya ulinzi na mfanya biashara wapi na wapi
 
Ungejua madini yanavyochimbwa usingesema hivyo eti mgodi ukikaribia kutema wanatolewa wote[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hili wazo nshakuwa nalo kitambo sana huyu ameyaficha sehemu ndio maana hata halalamiki bei anayopewa na serikali
Itakuwa miongoni mwa waliokuwa wamefichaga saa hivi kaamumua kutoa moja moja
 
Huyu tayari alishatajirika sana na Mall kubwa walijenga yeye na mdogo wake pale sakina

Kwahiyo huyu si mchimbaji mdogo
 
Huyu Leiza, wampe mgodi wote tu, Kwanza hatoroshi madini,lkn pia hapendi kuwauzia wengine ispokuwa anaiuzia serikali pekee, Kwa nini asipiwe hiyo migodi akaiendesha yeye kama Mtanzania mzalendo?
Labda aendeshe mgodi wa kokoto,unafikiria kuendesha mgodi ni sawa na kuendesha gari....kuna migodi ya wachimbaji wadogo merarani inatumia 70m mpka 100m kwa mwezi mmoja
 
Ndio mkuu,mie nimeuliza status yake ya "mchimbaji mdogo" badala ya wa kati,wastani au mkubwa
Mererani migodi mikubwa ni miwili tanzaniteone na kwa marehemu mengi...mingine yote inahesabiwa migodi midogo
 
Hili lilikua kwenye production ya mwanzo na zile kilo 9,angalia block lilivyo..sasahivi wanatoa mawe hata nusu kilo haifiki ni kama mkondo umekata
 
Ni kwasababu haufahamu ni kiasi gani kampuni kama ile aliyoileta Mkapa ya Tanzanite1, wanayaibua kiasi gani hadi usawa huu! Hayo ya Laizer ni cha mtoto!
Wale kwa mwezi walikua wanapakua hata 50kg ...mana wafanyakazi walikua wanaiba mawe makubwa mtu mmoja anaweza toka na jiwe la 300m
 
Laizer ana siri ila hatak kusema uyu dogo ni either mshirikina au mwizi huwez kuwa mchimbaji mdogo wakat tayar ushalamba billion kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…