babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Deng Xiaoping ndo shikamoo zaidi. Huyu bwana ndiye aliyeleta fikra mpya kwa wachina. Pamoja na nia njema ya Mao Zedong, fikra zake zilikua mgando. Deng kwa kuwa aliwahi kuishi Europe, akachukua falsafa za Ulaya akaziharmonize kuendana na sera zao za Kisoshalist. Hivyo akaruhusu uwekezaji, huyu ndiye aliyesababisha Wachina kutoka na kujifunza Technolojia nje ya China. Kwa kifupi huyu ndiye MZEE RUKSA wa TAIFA LA CHINA!Lazima tuheshimiane tu mjini hapa na hii hali ya kufunga mkanda chini ya JPM.Waache wachina wafanye yao wote tuendeshe magari mazuri,alianza na Pikipiki wakati mjapani anauza bei kubwa Honda na Yamaha yeye akapindua sasa kaja na Luxury Cars.Kwenye Mabasi ndiyo usiseme Scania wanaisoma namba sasahivi.Shikamoo Mhe.Xi Jinping
Ha ha ha ha. Mkuu mchina kwa fix hajambo. Ukiangalia kwa woga utafikiri majina ni sawa kumbe kapiga fix.Prado-PARDO
SAMSUNG-SINGSUNG
Nokia-Nokla
Adidas-Adibas
Toyota-Tayota
Land cruiser-cruiserland
Yeezy - yeazy
ongezea
.............................
Mzuka unakata pale unapojua kuwa gari yako ni ya kichina, hata ununue shilingi ngapi bado hutafeel comfortable.
Prado-PARDO
SAMSUNG-SINGSUNG
...
Teh teh tehMchina anamaana basi, hapo unaweza ukaitandika speed hiyo land wind halafu ghafla tairi yako ya nyuma ukaiona imekutangulia mbele.
Hahaaa mkuu si kwa range kichina.Ili mradi wewe uliyenunua uko comfortable inatosha mkuu. Huwezi kuwaridhisha walimwengu. Kuna watu hawataki hata kusikia gari za Toyota.
Hahaaa mkuu si kwa range kichina.
Ingekuwa gari nyingine ya kichina isiyo ya kukopi sawa.
Yu TongKati ya Scania, Benzi na Mabasi ya kichina, yapi yametawala barabara? Full luxury
Hiki ndicho nilicho maanisha.Kati ya Scania, Benzi na Mabasi ya kichina, yapi yametawala barabara? Full luxury
Hiki ndicho nilicho maanisha.
Yutong, zong tong, howo-ni mchina katika identity yake.
Ila utakapo nunua yutong yenye logo na jina benz kwa 200ml ukataka ule sahani moja na benz ya mjerumani ya 800ml, utagundua unajikopesha furaha.
Wanda world - kiboko ya Disney worldPrado-PARDO
SAMSUNG-SINGSUNG
Nokia-Nokla
Adidas-Adibas
Toyota-Tayota
Land cruiser-cruiserland
Yeezy - yeazy
ongezea
.............................
Nakushauri umuache SCANIA aitwe SCANIA! Never bet against it!Lazima tuheshimiane tu mjini hapa na hii hali ya kufunga mkanda chini ya JPM.Waache wachina wafanye yao wote tuendeshe magari mazuri,alianza na Pikipiki wakati mjapani anauza bei kubwa Honda na Yamaha yeye akapindua sasa kaja na Luxury Cars.Kwenye Mabasi ndiyo usiseme Scania wanaisoma namba sasahivi.Shikamoo Mhe.Xi Jinping
unanunua lini baby?hahahahahah nitanunua hilo mama nikupe raha ukiwa kushoto pale!
Ya kiChina kivipi? Sema original toka China ni mil 32 na original toka Japan ni mil 96.ya kichina mil 32 orijino mil 96