Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

China inaongoza Kwa kutengeneza gari za umeme duniani na kampuni ya BYD ya china imeipita Tesla Kwa kuuza gari za umeme.

BYD ana Faida ya kuwa mtengenezaji WA betri vilevile, mwaka huu china pia imeipita Japan Kwa uzalishaji na uuzaji WA Nagari sababu kubwa ni kukuwa Kwa uhitaji WA gari za umeme.

Mbali na BYD kuna kampuni nyingi za gari za umeme za bei nafuu zipo nyingi mpaka Alibaba zimejaa Kule.

Kuna hii gari inaitwa Wuling Hongguang Mini EV
Inauzwa USD 4500 sawa na milioni 11.2


Alibaba kuna mpaka vya Dola 800 na zingine za Dola 3500
Cheap Electric Car China Trade,Buy China Direct From Cheap Electric Car Factories at Alibaba.com

Masudi kipanya alisema gari yake ya umeme ikiingia sokoni rasmi itauzwa Kwa milioni Tisa. Tuombe afanikiwe.

China hajazubaa na analichangamkia soko la ev Kwa msaada pia WA ruzuku ya serikali
 
Huko tuendako tutakuja kuwaomba wachina wawape mimba wake zetu...

Sisi miafrika sijui nani alituloga wallah..
 
Sio dharau mkuu, mimi naelewa vikwazo tunavyowekeana kwenye suala zima la ubunifu.

Unaweza kushangaa hata huyo dogo akitengeneza hiyo petroli akanyimwa vibali vya kuiingiza sokoni ilimradi tu watanzania tuendelee kuteseka
 
Yapo kitambo sana tangu 2005 sasa hivi wako kwenye solar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasubiria aje kuiga
 
Sio hawajaamua , wanatengeneza
Mwaka 2022 China ndio nchi iliyoongoza kuuza Magari duniani ikizipiku Germany na Japan
Na hiyo imetokana na kutengeneza Kwa wingi Magari ya umeme
Huku kwetu hayapo sababu ya bei,Sisi ni second hand vehicles ambazo TRA wanazipiga kodi Zaidi ya watengenezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…