Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

Anasubiri apewe technology na wazungu.. wamarekani Kwa sasa hawatoi technology yao ovyo.. mchina Hana anachojua Zaid ya kukopy
ACHA BASI MADHARAU KAMA HUNA DATA; Labda nikumegee kidogo;

"China accounted for nearly 60% of all new electric car registrations globally in 2022. The share of electric cars in total domestic car sales reached 29% in China in 2022, up from 16% in 2021, thereby achieving the 2025 national target of a 20% sales share for so-called new energy vehicles"
 
usichoelewa ni kwamba hvyo viwanda hapo china vinamilikiwa na wamarekani kama wawekezaji na Siri ya hyo technology wanayo wao..china wanatumika kama cheap labour na source ya malighafi kwenye hvo viwanda...wao kama wao wachina hawana hyo technology ya magari hayo...bado ipo chini ya wamarekani mpaka watapoamua kuweka wazi..
 
Hakuna anaehofia QUALITY bana ni vile SOKO LA AFRICA halina faida kwao usisikilize propaganda
CHINA wako vizuri

hivi unajua TESLA battery za gari zake zinatengezwa na kampuni ya KICHINA
Swali lako la mwisho ni Yes, under Standard za Tesla, almost kila kitu sasa hivi ni made from China na ndio maana kuna ambavyo vinafuta strictly standards for Eurepo and America na Cheap made fake takataka made for MEA. Unaweza ukarejea quality ya pikipiki za made in China compare na Honda na Yamaha. Pikipiki saivi ikimaliza miaka mitatu inakua ishakua mkangafu wakati hizi za japan zinagonga 15+ bila shida yoyote.
 

Serious brother yaan unazungumzia SAN LG FECON HAOJUE nk then unataka ulinganishe na HONDA YAMAHA KAWASAKI

kwanza sijaelewa msingi wa QUOTE yako unabisha unanikatalia au unanieleza
 
Hakuna anaehofia QUALITY bana ni vile SOKO LA AFRICA halina faida kwao usisikilize propaganda
CHINA wako vizuri

hivi unajua TESLA battery za gari zake zinatengezwa na kampuni ya KICHINA
Tesla battery ni za Panasonic ya mjapan. Labda kama uzalishaji zaidi unafanywa na Wachina ila Panasonic its Originally Japanese.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…