green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Ulaji wa Nguruwe na misimamo thabiti inachangamsha akili.Wachina wanajulikana kwa kuloby na kuiba technology za Nchi hali ya juu za nyingine na kuziendeleza na kutengeneza bidhaa za bei rahisi. Manyamela hao wametoa fighter yao chapa J 35 ila kila kitu wamekaa fighter za Marekani za F 35.. Mchina atakuja ziuza bei rahisi kila mtu apate 🤣
China has officially unveiled its 5th-generation stealth fighter, the J-35A, at the Zhuhai Air Show.
Lol, they copy everything.
Hawapendi kuitwa manyamela, wakiona hii post wataku mindManyamela
Hapo ungetupa tu tech specification...shape haina issue sana we ulitaka watengeneze box au pembe tatu halafu waited jet fighrerHio ndo dumping sasa ,ndio mana mmarekani anamtandika mchina Kodi kubwa kwlkwl
ameiba technology gani hapa?Wachina wanajulikana kwa kuloby na kuiba technology za nchi hali ya juu za nyingine na kuziendeleza na kutengeneza bidhaa za bei rahisi.
Manyamela hao wametoa fighter yao chapa J35 ila kila kitu wamekaa fighter za Marekani za F 35.. Mchina atakuja ziuza bei rahisi kila mtu apate
China has officially unveiled its 5th-generation stealth fighter, the J-35A, at the Zhuhai Air Show.
Lol, they copy everything.
View attachment 3144290
Hizo inabidi tuanze kuziona hapa Bongo mchina anaenda kuharibu soko la F 35Alafu bei kitonga
Mule kule na hawaoni aibu walanini wanataka pesaCtrl + C
Ctrl + V
😁😁😁😁
hahah sizani kama wanaelewaCtrl + C
Ctrl + V
😁😁😁😁
Alafu bei kiton
Mchina ni mjanja na hii ndiyo inayotakiwa. You snooze you loseWachina wanajulikana kwa kuloby na kuiba technology za nchi hali ya juu za nyingine na kuziendeleza na kutengeneza bidhaa za bei rahisi.
Manyamela hao wametoa fighter yao chapa J35 ila kila kitu wamekaa fighter za Marekani za F 35.. Mchina atakuja ziuza bei rahisi kila mtu apate
China has officially unveiled its 5th-generation stealth fighter, the J-35A, at the Zhuhai Air Show.
Lol, they copy everything.
View attachment 3144290
You snooze you loseWachina wanajulikana kwa kuloby na kuiba technology za nchi hali ya juu za nyingine na kuziendeleza na kutengeneza bidhaa za bei rahisi.
Manyamela hao wametoa fighter yao chapa J35 ila kila kitu wamekaa fighter za Marekani za F 35.. Mchina atakuja ziuza bei rahisi kila mtu apate
China has officially unveiled its 5th-generation stealth fighter, the J-35A, at the Zhuhai Air Show.
Lol, they copy everything.
View attachment 3144290
Mchina alichomeka mapandikizi ya kichina yenye uraia wa Marekani lakini kazi yao ni kuiba taarifa nyeti na kuziuza kwa serikali ya Chinaameiba technology gani hapa?
🤣Mchina ni mjanja na hii ndiyo inayotakiwa. You snooze you lose
You snooze you lose
Mchina anasubiri uumize ndonga miaka yeye anakuja kuiba kwa siku moja tu🤣🤣🤣🤣Hio ndo dumping sasa ,ndio mana mmarekani anamtandika mchina Kodi kubwa kwlkwl
June 9, 2024 Topic: Security Region: Americas Blog Brand: The Buzz Tags: F-22F-35MilitaryDefenseChinaJ-20ameiba technology gani hapa?
Ishu sio ku copy ni kuiba Tech ulizoumiza kichwa wewe yeye anapita nayoBasic concepts za stealth fighter ni zilezile. Aerodynamic shape lazima ifafane hakuna muujiza zaidi ya huo, kama inaundwa very high flying stealth bomber lazima itafanana kidogo na B-2, kama inaundwa fighter jet lazima ifananie kidogo na F-35 au F-22.
Uturuki wanadevelop Kaan tiyari imefanya test flight nayo utasema wamekopi kwa MarekaniView attachment 3144305
South Korea wana Boramae imekuwa ordered tiyari, nayo utasema wamekopi kwa Marekani. Ingawa hii wamepewa some tech transferView attachment 3144307
Uingereza na Japan ikijiunga watakuja na Tempest concept yake ni hiiView attachment 3144304
Mtu aunde sedan useme amekopi Toyota Mark X, sasa ulitaka sedan iwe kama meza au ifanane vipi.