Mchina kwa wizi kashindikana katoa F 35 ya US kama ilivyo kwa jina la J 35

Mchina kwa wizi kashindikana katoa F 35 ya US kama ilivyo kwa jina la J 35

Sioni cha ajabu hapo maana kuna ndege nyingi zenye mfanano na hiyo J 35. Kuna Su- 57 ya urusi, KF-21 ya Korea kusini.

Ila tukiongelea quality hiyo F-35 ya China ni bora kuliko hiyo ya Marekani kwa wazee wa military aviation mtanielewa
Naunga mkono hoja marekani kwenye ndege alopoteana ni hili Kopo marekani mpaka sasa kacheza sanaa mnooo kwenye f22 yule mnyama ila hizi nyengine hamna jambo f16 pale Ukraine kama hazikupelekwa
 
Naunga mkono hoja marekani kwenye ndege alopoteana ni hili Kopo marekani mpaka sasa kacheza sanaa mnooo kwenye f22 yule mnyama ila hizi nyengine hamna jambo f16 pale Ukraine kama hazikupelekwa
Hazijafanya maajabu yoyote zaidi ya promo tu
 
Iran ana Aircraft carrier ngapi na anatengeneza ndege gani ya kivita ? naomba jibu lisilo na mhemko.
 
Ulaji wa Nguruwe na misimamo thabiti inachangamsha akili.
Sana tu, mla nguruwe anatumia akili huku mnywa al kasus, urojo na tende yeye anatou pesa tu na kununua vifaa vya vita kuua nduguze huku akimsifu Mwenyezi Mungu.
 
Shape inaweza kuwa sawa ila shida itaanzia kwenye kukidhi specs and battle ground requirements.

Stealth bomber imeitwa stealth bomber kutokana na Capability ya kuweza kutoonekana kwenye radar na kwenda front line kushambulia na ikarudi base salama.
 
Iran ana Aircraft carrier ngapi na anatengeneza ndege gani ya kivita ? naomba jibu lisilo na mhemko.
Kwa nini Iran mkuu, unalinganisha na nani!?..kwa nini isiwe tanzania!?
 
Attachments

  • Screenshot_2024-11-05-19-01-38-664.jpg
    Screenshot_2024-11-05-19-01-38-664.jpg
    402 KB · Views: 3
Tunapo sema Us ndo baba lao muwe mnaelewa vzur enyi wavaa kobaz China ni Copy Cats hana recent technology aliyo leta zaidi ya kughushi ghushi tu yeye na vibaraka wake...
 
Back
Top Bottom