Basic concepts za stealth fighter ni zilezile. Aerodynamic shape lazima ifafane hakuna muujiza zaidi ya huo, kama inaundwa very high flying stealth bomber lazima itafanana kidogo na B-2, kama inaundwa fighter jet lazima ifananie kidogo na F-35 au F-22.
Uturuki wanadevelop Kaan tiyari imefanya test flight nayo utasema wamekopi kwa Marekani
View attachment 3144305
South Korea wana Boramae imekuwa ordered tiyari, nayo utasema wamekopi kwa Marekani. Ingawa hii wamepewa some tech transfer
View attachment 3144307
Uingereza na Japan ikijiunga watakuja na Tempest concept yake ni hii
View attachment 3144304
Mtu aunde sedan useme amekopi Toyota Mark X, sasa ulitaka sedan iwe kama meza au ifanane vipi.