Mchina kwa wizi kashindikana katoa F 35 ya US kama ilivyo kwa jina la J 35

Mchina kwa wizi kashindikana katoa F 35 ya US kama ilivyo kwa jina la J 35

"hili lichina jinga sana"

Sawa mtanzania wewe ndio wa kusema maneno haya ? Aiseeee
Wewe kama una ushoga nao ........ni wewe maana hata leo ungekuwa unaulizwa uperekwe wapi au chagua pa kwenda kuishi.........ungesema cannada au marekani au uingereza na sio china...........basi hapo ndio ujue hiyo nchi ni pumbavu mbele ya mataifa kongwe .............huku wewe ipende tu maana hata tiles usingeijua bila wachina kukuretea ya bei rahisi.........
 
Mchina Bado Sanaaa Wewe tumia kitu cha Kizungu Chchote Tuu alafu Utumie Kitu chchote cha Kachina ndio utajua utofauti Haswa magari na bidhaa za Viwandani
Unaleta habari za mwaka 47
China sasa hivi hakuna sehemu asiyounda kitu bora.
Kama angekua haundi vitu bora asingeshindana na wazungu katika masoko yao.
Tumetumia vitu vyao na tunaona ubora wake kuanzia simu hadi bidhaa nyingine.
Mfano simu tu leo useme HUAWEI NA OPPO ni bado sanaa katika soko la ushindani,bro unaweza chapwa makofi.
 
Hapo ungetupa tu tech specification...shape haina issue sana we ulitaka watengeneze box au pembe tatu halafu waited jet fighrer
Hajui kwa nn inaitwa jet au kwa wale wamajini kuna catamaran boat zote lazm ziwe na fases zilizo sawa
 
Unaleta habari za mwaka 47
China sasa hivi hakuna sehemu asiyounda kitu bora.
Kama angekua haundi vitu bora asingeshindana na wazungu katika masoko yao.
Tumetumia vitu vyao na tunaona ubora wake kuanzia simu hadi bidhaa nyingine.
Mfano simu tu leo useme HUAWEI NA OPPO ni bado sanaa katika soko la ushindani,bro unaweza chapwa makofi.
Yani Oppo nayo Ni Sim Kweli unachekesha Kweli Yani Kweli Ukiambiwa Toa Sim Yako Mbele Ya Wanaume Unatoa Oppo au Tekno Wewe tafuta hela acha Ugaigai
 
Yani Oppo nayo Ni Sim Kweli unachekesha Kweli Yani Kweli Ukiambiwa Toa Sim Yako Mbele Ya Wanaume Unatoa Oppo au Tekno Wewe tafuta hela acha Ugaigai
Nimeamini wewe ni bonge mshamba tena huwenda simu huzijui.
Leading phones kiubora na kimauzo
1)Samsung
2)Iphone
3)Oppo
4)Xiaomi
5)Vivo.
Kwa akili zako kama firigisi hiyo OPPO imekaa nafasi ya tatu kimazabe mazabe!??
Embu nenda katizame ufanisi wake kuanzia software yake ikiwemo ufanisi wake katika internet na features zake zote halafu ndio ujue kwanini ni namba 3 ulimwenguni.
Usikute naongea na MSHAMBA hapa hakuna analojua.
Tafuta toleo la OPPO RENO .
Ninyi ndio ambao mnajua simu ni Iphone tu,pole yako.
 
Hayo ndio matumizi mazuri ya akili

Sio sisi habari ya mjini ni Baltasal Engonga tu
 
Nimeamini wewe ni bonge mshamba tena huwenda simu huzijui.
Leading phones kiubora na kimauzo
1)Samsung
2)Iphone
3)Oppo
4)Xiaomi
5)Vivo.
Kwa akili zako kama firigisi hiyo OPPO imekaa nafasi ya tatu kimazabe mazabe!??
Embu nenda katizame ufanisi wake kuanzia software yake ikiwemo ufanisi wake katika internet na features zake zote halafu ndio ujue kwanini ni namba 3 ulimwenguni.
Usikute naongea na MSHAMBA hapa hakuna analojua.
Tafuta toleo la OPPO RENO .
Ninyi ndio ambao mnajua simu ni Iphone tu,pole yako.
Aaah braza,punguza basi ase
Akili kama firigisi ndo nini sasa
Unafanya hadi tuaanza kuifikiria firigisi ilivyo
 
Back
Top Bottom