Mchina kwa wizi kashindikana katoa F 35 ya US kama ilivyo kwa jina la J 35

Mchina kwa wizi kashindikana katoa F 35 ya US kama ilivyo kwa jina la J 35

Wewe copy tu tatizo liko ndani ya cockpit.....hapo ndio kwenye balaa...........hapo hata wafanyaje hawawezi kuipata hiyo teknolojia...............hili lichina jinga sana lili wahi hadi kukopi evoq range rover...........wakafunguliwa kesi nzito wenyewe walisanda wakasema walijalibisha tu lengo sio kutengeneza kwa ajiri ya biashara
 
Hujui kuwa components nyingi za hiyo ndege ya F-35 zinatengenezwa na mchina, na mchina ameiwekea vikwazo marekani kutoipa components muhimu hiyo ndege?. Fuatilia sana. Mchina ni kama maji usipomnywa utamkoga!

Soma hii hapa:

Sioni cha ajabu hapo maana kuna ndege nyingi zenye mfanano na hiyo J 35. Kuna Su- 57 ya urusi, KF-21 ya Korea kusini.

Ila tukiongelea quality hiyo F-35 ya China ni bora kuliko hiyo ya Marekani kwa wazee wa military aviation mtanielewa
Su-57 ya Urusi haifananii kabisa na hizo nyingine zote. Kwanza yenyewe injini zake hazijafichwa alafu design yake bado inalenga kuwa agile kama 4th gen. kwa ajili ya dogfight kwenye within visual range. Kwahiyo Su-57 ni 5th that retains some 4th gen. characters.

5th generation nyinginezo hazilengi dogfighting zinakomea kwenye beyond visual range (BVR) yani zinapigana bila kuonana wala kukaribiana. Ni matumizi ya sensors, AI, electronics nzuri na stealth yanazingatiwa.

Na bado J-35 haijawa hata introduced, haitiuzwa hivyo hakuna foreign sales wala competitions za tender zitakazoonyesha uwezo wake japo kidogo. Huwezi sema inaizidi F-35 ambayo imeuzwa nchi nyingi kwa kushinda tenda na imeishatumika na ina combined flight hours zaidi ya 800,000 huku zikiwepo units karibia 1,000 kwa airforces kadhaa. F-35 iko more matured, J-35 bado sana inahitaji miaka kadhaa tena.
 
Huwezi sema inaizidi F-35 ambayo imeuzwa nchi nyingi kwa kushinda tenda na imeishatumika na ina combined flight hours zaidi ya 800,000 huku zikiwepo units karibia 1,000 kwa airforces kadhaa. F-35 iko more matured, J-35 bado sana inahitaji miaka kadhaa tena."

Kwanza, kusema kwamba J-35 "inaizidi" F-35 ni mapema mno. J-35 bado haijathibitisha uwezo wake katika mapigano halisi.

Pili, ingawa F-35 ina uzoefu zaidi na imetumika sana, haimaanishi kwamba ni bora kuliko J-35 katika mambo yote. J-35 inaweza kuwa na faida katika baadhi ya maeneo, kama vile kasi na uwezo wa kubeba silaha.
 
Wachina wanajulikana kwa kuloby na kuiba technology za nchi nyingine za hali ya juu na kuziendeleza na kutengeneza bidhaa za bei rahisi.

Manyamela hao wametoa fighter yao chapa J 35 ila kila kitu wamekopi fighter za Marekani za F 35.. Mchina atakuja ziuza bei rahisi kila mtu apate

China has officially unveiled its 5th-generation stealth fighter, the J-35A, at the Zhuhai Air Show.

Lol, they copy everything.

View attachment 3144290
View attachment 3144292
Bei imekufa😆
 
Sasa hii copy and paste mm nimefundishwa pre form one ndo useme humu jf hawaelewi embu kua na adabu na wanaukumbi
wewe ni miongon mwa wachache wanaoelewa sema unajidharau unahisi hata unachokijua bas kila mtu anakijua
 
Wewe copy tu tatizo liko ndani ya cockpit.....hapo ndio kwenye balaa...........hapo hata wafanyaje hawawezi kuipata hiyo teknolojia...............hili lichina jinga sana lili wahi hadi kukopi evoq range rover...........wakafunguliwa kesi nzito wenyewe walisanda wakasema walijalibisha tu lengo sio kutengeneza kwa ajiri ya biashara
"hili lichina jinga sana"

Sawa mtanzania wewe ndio wa kusema maneno haya ? Aiseeee
 
Mchina Bado Sanaaa Wewe tumia kitu cha Kizungu Chchote Tuu alafu Utumie Kitu chchote cha Kachina ndio utajua utofauti Haswa magari na bidhaa za Viwandani
 
Mpaka sasa Rafale ni successful jet maana Dassault hawakuiunda wakiwa na mategemeo sana na foreign operators. Rafale ilizaliwa kutokana na ubishi wa Eurofighter Typhoon ambapo wengine wote kwenye consortium hawakuwa na mpango na ndege inayotua kwenye aircraft carrier ila France ilisisitiza. Na kupishana kwingine ikabidi France ijitoe iwaache Spain, UK, Italy na Germany.

Kinachoifanya Rafale isiuze sana ni bei yake, Ufaransa ilikuwa peke yake hivyo production cost per unit ni kubwa. Ila kinachoifanya Rafale iuze ni kwamba haina usumbufu mwingi wa kidiplomasia hapo unaongea na Ufaransa tu akikubali unapewa ndege. Uzuri inajitosheleza kwenye weapon systems kama MICA missiles.

Kwahiyo sikubali kwamba F-35 inaua soko la Rafale sababu hazina role moja wala sio class moja. Na wala Marekani hana uwezo wa kuzuia consortium ya Ulaya kuunda 6th gen. aicraft.
Wewe jamaa unajikuta mjuaji kumbe hamnazo
 
Wachina wanajulikana kwa kuloby na kuiba technology za nchi nyingine za hali ya juu na kuziendeleza na kutengeneza bidhaa za bei rahisi.

Manyamela hao wametoa fighter yao chapa J 35 ila kila kitu wamekopi fighter za Marekani za F 35.. Mchina atakuja ziuza bei rahisi kila mtu apate

China has officially unveiled its 5th-generation stealth fighter, the J-35A, at the Zhuhai Air Show.

Lol, they copy everything.

View attachment 3144290
View attachment 3144292
Ni afadhali wao wanaweza kuiga wanapokosa ubunifu au ugunduzi. Sisi hata kuiga tunakwama, achilia mbali kushindwa kubuni au kuendeleza ubunifu/ ugunduzi.
 
Hujui kuwa components nyingi za hiyo ndege ya F-35 zinatengenezwa na mchina, na mchina ameiwekea vikwazo marekani kutoipa components muhimu hiyo ndege?. Fuatilia sana. Mchina ni kama maji usipomnywa utamkoga!

Soma hii hapa:

Hapo ndo usa anachoka hiyo ndege ikiundwa marekani itagharim 2b usd ..kama ilivyo B2..
 
Back
Top Bottom