Mchora katuni Opptertus John Fwema ashikiliwa na Polisi kwa Makosa ya Mtandao

Ukimnyofoa kucha haibadilishi kitu chochote kwamba huyo aliyechorwa ni mtoto anaongozwa kila kitu na Kiwete
 
Yaani katuni za Kipanya ni kazi kunielewa wakati alikuwa anamchora Magufuli waziwazi kabisa na hakuna alichofanywa,sema hii ya Kikwete kuendesha bibi ni ukweli kwa hiyo inauma
 
Nimekuelewa my dear explanation yako Iko so clear Yani mie niliona tu huyo cartoonist ni mjinga na ana mu undermine Raisi mbona magufuli akiwa Raisi hawakusema anaongozwa na mwingine why Mama, na I wonder watu wenye akili potofu wanao mdharau Rais na kumwingiza kikwete kitu ambacho sio fair kabisa, waache discrimination bana being a female president haimaanishi yeye hana roadmap yake ya kuongoza yatakiwa kuheshimiana wala. Ingawa mie niliona watu wenye mawazo finyu ka huyo ni wakuachwa tu na ujinga wao
 
Hata ungekuwa ww una mamlaka ungevumilia matusi kama hayo??angekuwa Magufuli angethubutu kuandika hivyo?wachunge mipaka waandishi
 
Sioni tatizo katika katuni hiyo,shwain!
 
Pole yake sana...

Sasa hivi ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi...
 
KKw

Kwa katuni hiyo sidhani kuna mtu mwingine anaweza kulaumiwa zaidi yake mwenyewe.....

#NchiKwanza
#SiempreJMT
Unadhalilisha mamlaka ya Rais unataka uwachwe? Nchi yetu bado changa sana Taasisi ya Urais ndiyo inayotuweka pamoja kama Taifa.
 
Uhuru wa kutoa maoni umetoweka! Hii hali afadhali ya jana
 
Uhuru sio kuachwa utukane, udhalilishe Au ueneze uongo, kabla hatujawa walalamikaji kwahili tujue kwanza ni aina gani ya kosa la mtandao alilofanya.

Hao mawakili wanaojitokezaga et wanatetea haki niwashauri wawe wanawaelimisha watu pia kuhusu mipaka ya kile kinachoitwa Uhuru nasio kutafuta kiki zinazolenga kujitangaza kwa manufaa yao pale mtu anapokosea
 
I see my wife in your reasoning..[emoji4]
 
Chora mkuu, unajiweka karibu na Ujerumani au USA.....unakuwa mkimbizi wa kisiasa kiulaiini, utarudi kugombea urais...wakikuzingua unakimbilia ubalozini....kwisha habari yao!
Au ujifanye shujaa na kusema wewe bingwa umeiondoa Covid kwa maombi ya siku 3..mwisho wa siku tunakuzika wewe na wasaidizi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…