Mi nampa 90% alafu 10% ilobaki ni mapungufu kidogo kwenye ubunifu wa rangi.. yaaan rangi inaonesha ni mchoro kwa haraka ukitizama. Labda kwa vile ni rangi zetu za bongo(maana kuna michoro ukiona utadhan picha zakuchukuliwa na camera) Ila muoneka yuko vizuri sana kila kitu