Mchoraji wa picha hii ya Raisi Samia Suluhu Hassan apewe alama ngapi?

Mchoraji wa picha hii ya Raisi Samia Suluhu Hassan apewe alama ngapi?

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Kati ya 100% unampa ngapi?

globalpublishers-20210423-0001.jpg


Source: Global-Publishers Instagram.
 
Kila mtu ana kipaji chake kwangu mi nampa 91%..

Utakuta shule alikuwa anakula stick za mwalimu wa hesabu hadi kakimbia.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mi nampa 90% alafu 10% ilobaki ni mapungufu kidogo kwenye ubunifu wa rangi.. yaaan rangi inaonesha ni mchoro kwa haraka ukitizama. Labda kwa vile ni rangi zetu za bongo(maana kuna michoro ukiona utadhan picha zakuchukuliwa na camera) Ila muoneka yuko vizuri sana kila kitu
 
Back
Top Bottom