johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Huyo Komba mnamuonea bure.Wagombea wa kanda ya kaskazini:
Wachagga ni % ngapi kwenye hiyo list? Nimeona Lema, Selasini na Massawe. Kumbe hata wakiwa 3 kati ya 10 bado hawatakiwi? Sumu ya ubaguzi inakutafuna!
- Lema
- Selasini
- ole Koimere
- Komba
- Landey
- Bahweje
- Massawe
- Girdaya
- Mollel
- Mphare
Nafasi zinazogombewa ziko tatu. Umeona wachagga tu kwenye nafasi zote tatu?Huyo Komba mnamuonea bure.
Hayo ndio majina yatakayopiigiwa kura au ni ya wale wachagga wawili?!
Umeambiwa inashindaniwa kati ya Lema na Selasin. Wapi kakuambia linashindanishwa kabila Fulani na Fulani?Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Umekuwa unasema uongo kama meko asemavyo uongo hata madhabahuni.Uchaguzi wa uwongo watu wa makao makuu wanachagua na kupitisha hata walioshindwa kwa kigezo cha maagizo kutoka kwa mbowe na ukabila juu pale morogoro lijualikali alishinda mkampa Devotha minja kisa ni mchaga
State agent
List imewekwa hapo juu, wewe umebaki na itakuwa, itakuwa!Itakuwa Sugu na Msigwa!
Kwa hadhi yake ya kanda ni mbabe! Sio taifa. Ni sawa na Kagere na ubabe wa ligi kuu uje umpeleke UEFA ukitegemea ataitwa mbabe. Thubutu!Leo umemtambua Cecil Mwambe kama mbabe wa siasa?! Ama kweli.
Huko kwingine mfano iringa, Pemba na Zanzibar, kusini, na kanda ya kati napo in ukabila?Kabila na uchaguzi ndani ya chama cha siasa vina husiana vipi? Si nia njema kuingiza ukabila katika mambo ya umoja wa kitaifa.
Angeteuliwa?Ungechukua fomu ugombee ili kuondoa hiyo dhana!
Kipau mbeleChadema 2015 walisema kipau mbele chao Cha Kwanza Ni elimu,Cha pili elimu Cha tatu elimu
Sasa Ni wakati muafaka wa wao kutekelekeza kipau mbele hicho kwa kumpa uenyekiti wa Chadema taifa mtu mwenye digrii kuonyesha heshima waliyonayo kwa elimu
Haipendezi kwa Chama kinachojinasibu kuwa kipaumbele Ni elimu halafu kinakuwa na mwenyekiti wa Chadema taifa form six division zero akiongoza maprofesa akina Profesa baregu nk .
Chadema ishini maneno yenu Kama kipau mbele Ni elimu onyesheni kwenye cheo Cha uenyekiti .Ni aibu kusema kipaumbele Ni elimu halafu.mwenyekiti wa Chadema taifa division zero
Wachaga ndio wenye chamaKanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
So, ile habari ya kwamba mzee kakataliwa kwa kupigiwa kura nyingi za hapana ilikuwa ni njama, hila na upotoshaji wa mabeberu wa Kitanzania?Hata hivyo Kanda ya Pwani inayotizamwa kama Kanda Kiongozi Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Tluway Sumaye amepita bila kupingwa kugombea Uenyekiti hiyo ikionekana kama heshima kubwa kwake.