Mchumba amebadilika na kuwa mlokole, sasa ni tabu tupu, bora kuoa mpagani

Mke atakuwa wako ila anaesikilizwa ni mchungaji/nabii[emoji23][emoji23]
Na hili ndio tatizo kubwa. hawa wanawake wanaowapa watumishi nguvu nyingi zaid kuliko waume zao ni tatizo.
Kila maamuzi utasikia ngoja nikamuulize mtumishi
 
Ukaona bora umpoteze Yesu umkeep mwanaume
Hapana hatujachokana na tumeoana sasa
Naomba msaada, Mbegu zangu zinatoa harufu mbaya

Hapa ulikuwa unamuombea ushauri mumeo?
 
pambania hiyo kombe mkuu huwezi jua ndiye MUSA huyo mwenye fimbo ya mema😀
 
Hii imewahi kunikuta,Demu alikutana na Nabii huyo ni balaa,

Demu akawa ananipa mzigo Kama kawaida Ila masharti kibao,Mara eti hatak umshike maziwa Mara ukimnyonya shingo anakwambia eti hayo ni Mambo ya kidunia,Mara doggy style hataki kwenda na wakat kipind Cha nyuma ilikuwa kawaida tu,ikafikia hatua nikimuomba tukutane au aje hom hataki,siku moja akaja hom nikajua anakuja kunipa mzigo,badala yake akaja kunambia eti Nabii kamwambia eti kaonyeshwa mim Nina majini mia😃😃 eti inatakiwa niokoke na Mimi,nikamwambia,Mimi siwez kuokaka eti kisa umeambiwa hvo na huyo Nabii,pale pale nikamwambia Kama hauko tyr kunipa mzigo leo ni Bora tuachane,na kweli demu akasema Haina shida😭😭,akaondoka kweli banaa,

Nimekaza Kama wiki hivi bila kutafutana, weekend moja akanitumia katext mwenyew,"Uko wapi Babaa" nikamjibu "Nipo hom mamaa" akajibu "Nakuja Babaa", Demu Kaja nikashinda nae hom,na show ikapigwa nzito na koni akalamba *****.

Mpk leo anasali na mzigo nakula Ila nishamwambia asinipgie kelele na story za manabii uchwara.
 
Kila kitu kikizidi kina madhara,Mi niliwahi kupata dada wa kazi mfumo ni huo huo yaani ibada ya jumapili asubuhi na jioni,akijiunga kifurushi cha semina ni wiki nzima,bila kusahau mikesha ya hapa na pale,Uvumilivu ulinishinda alipojiunga na kwaya yaani siku hakuna ibada au semina anaenda kufanya mazoezi ya voko,nilimwambia sikukatazi ila nitaanza kukulipa kwa kuhesabu siku unazonifanyia kazi kasoro jumapili tu ndio uko mapumziko.
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke? Naomba msaada, Mbegu zangu zinatoa harufu mbaya

Naomba msaada, Mbegu zangu zinatoa harufu mbaya
 
Kumfuata Mungu haijawai kuwa rahisi..Watu wanasheherekea zaidi zambi..ukimfuata Mungu unaonaekana mkosefuu...

Mambo ya Ajabu kabisa
Sasa hiyo cha mtoto. Wengine wengi tu watakwambia wanataka mke mcha Mungu; ila bado akimpata anataka aishi naye maisha ya ufirauni. Nahisi wana definition yao ya ucha Mungu. Mfano mtoa mada alifurahi kuona mwenzie anamtafuta Mungu; ila baada ya kunyimwa papuchi tu, mwenzie kawa mjinga wa mwisho eti teh teh

Ukiamua kweli kumtafuta Mungu basi ziba masikio usisikilize kelele za watu. Na usisahau kila siku utakumbushiwa past yako as if we dwell in the past.
 
[emoji23][emoji23]...Kumcha Mungu kwao nikutambua TU Kwamba yupo na wakati wa matatizo kumlilia..lakini kufuata maamrisho na makatazo yake...Ni Vita.
 
Mchungaji akihubiri acha dhambi; utaambiwa wake zetu wanawasikiliza sana Wachungaji; as if Wachungaji wana Biblia zao binafsi tofauti na hizi za kwetu tunazobebaga jumapili na, wengine kuziweka chini ya mito tunavyolala ili tusikabwe na majini heheeh
[emoji23][emoji23]...Kumcha Mungu kwao nikutambua TU Kwamba yupo na wakati wa matatizo kumlilia..lakini kufuata maamrisho na makatazo yake...Ni Vita.
 
Huu sio ushauri ni upupu[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…