Mchumba anahitajika hapa

Mleta mada kuwa serious.Tajiri Ndo kitu gani.Kuwa makini
 
Ngoja nije

nnavopenda midhahabu shingoni na masikioni!!

nnavopenda maisha ya utajiri

ha ha ha ha

mtu kishanitangazia tajiri mi nibakie na shida kwanini??
 
Naona na madini ntapatiwa... Ngoja niende
 
Mimi ni mfanyakazi wa TMAA pia niko single naomba nikutafute.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Tajiri wa Acacia atangaza nafasi adhimu Kwa akina dada. Hii ni baada ya kukoswa koswa na jambia la Magufuli.
 
wapenda hongo utatafuna nyugunyu zao sana, ila kwa uelewa wangu wangekutafuta wewe.
 
lakini me jamani nakuonea huruma nikuache sababu kwenye pesa uaminifu sina ..Mungu akusaidie upate mwenza mzuri kwa kweli roho yangu inanisuta . barikiwa rafiki mwema ila ukitaka kunitoa out basi njoo tu unitoe
Utolewe out tu... Just for fun.
Kula uliwe aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…