Mchumba anahitajika hapa

Mchumba anahitajika hapa

Usikute bado unalala kwenu...😀😀😀....alafu unajisifu una hela............ungekuwa na hela wangekuja wenyewe wala usingetaabika kama unavotaabika.............unadhani ukisema una hela ndo watakuja....utamaliza kuni kwa kuchemsha mawe....
 
mm ni kijana wa kitanzania nina tafuta mchumba mm ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba,gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho ktika maisha tatzo tu natafuta mchumba aje tufurahie maisha mm ni tajir. sina vigezo kma wengne dini yeyote akn awe mdada asiwe na roho mbaya yeyote atakaye guswa ha hili andiko aje PM
safi nipo njiani
 
Kiongozi ebu tusaidie hii ishu ya mchanga wa madini imekaaje kwa uzoefu wako.ni kweli tunapigwa?
 
Miss natafuta, aka miss nimechoka ....
Pitia hapa kuna fursa
 
mm cio mtu wa dhuruma hata kdgo labda ww ndyo uje unidhurumu
lakini me jamani nakuonea huruma nikuache sababu kwenye pesa uaminifu sina ..Mungu akusaidie upate mwenza mzuri kwa kweli roho yangu inanisuta . barikiwa rafiki mwema ila ukitaka kunitoa out basi njoo tu unitoe
 
Poa out utatolewa sana tu usihofu
 
mm ni kijana wa kitanzania nina tafuta mchumba mm ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba,gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho ktika maisha tatzo tu natafuta mchumba aje tufurahie maisha mm ni tajir. sina vigezo kma wengne dini yeyote akn awe mdada asiwe na roho mbaya yeyote atakaye guswa ha hili andiko aje PM
Duh ninacho kiamini ungekuwa na hivi vitu yani ata mda wa kujitangaza umu unataka mke usinge upata maana kwa dada zetu kwa maisha uliyo sema ungekuwa nao wengi uko uliko kwani we unakutana na wangapi kwenye biashara umekosa mpaka unakuja huku
ila poa wasibiri wajinga wajinga utawapata ila kwa staili uliyo tumia uwezi mpata mwenye timamu zake
 
Ungekuwa na hela sidhani hata kama ungekuja kuweka tangazo hapa.
 
Back
Top Bottom